Du! huyu dogo refa Kassai anapenda kurusha kadi!
zimeshatoka kadi ngapi?
Du! huyu dogo refa Kassai anapenda kurusha kadi!
Wewe mbona unaweweseka sana. Arsenal inakunyima usingizi.
Premier ni ya kwetu msimu huu, take my words bro
Premier ni ya kwetu msimu huu, take my words bro
Watoto waninyime usingizi?
Hahahahaah....kumbe huna lolote. Wewe lala tu Arsenal tumeshavuka kwenda 16 bora.
Dortmund 2 tayari
Watoto wapo kilele kunako EPL na hivi punde wanaanza kukimbiza kwenye mbio za ubingwa wa UEFA. Sio kama ile mizee ya darajani.
Dortmund 2 tayari
Duh goli la 2
Nani kapotea wewe?Naona mmepotea