Ushabiki wako Arsenal ikifungwa ndio unatokezea, siku zote ulikuwa wapi?
Sishangai wengi humu walikuwa wakiotea sana wakisubiri Arsenal wapoteze gemu ndio waje humu na leo tumewaona, ninachoomba mupite humu kutowa heshima wakati Arsenal wakishinda, kumbe inawauma Arsenal ikishinda, leo muna furaha sana haya shangirieni lakini furaha yenu inaonekana kama ya muda mfupi
Msingeshinda ingekuwa disaster kwenu,hii mechi kwenu ilikuwa kama fainali wakati kwetu ilikuwa ni game ya kawaida kama zidi ya timu zingine.Losers' grief...
United has been winning games vs. Goons for couple of years...I don't even remember the last time Goons won against United..it seems like Millennium ago...
But we are celebrating because of your twaddle talks b4 the game...that's why #RvP celebrated the goal to the fullest...and now goons are fussing about his celebration...come on #RvP is goddamn United man...
Goons were over confident...that's a grave mistake when you meet a pack of wounded wolves....
#WakeZetu
Chifu, mbona kelele nyingi?. Ninaamini unafahamu tabia ya kabumbu. Kuna kushinda na kushidwa.
Kwa leo sina budi kukupa pongezi kwa kunusa nusa kilele cha league kutoka sijui nafasi ya ngapi kule chini mpaka ya tano.
Yes, we missed a great opportunity to take three points back to Highbury.
Naona mfarisayo kama vile macho yamefunguliwa na hakutegemea kama Manu U wanaweza kuchukua pointi tatu.
Mpe salamu zangu na mwambie mechi haikuwa ni fainali bali ni league yenye michezo 38 na kwa sasa michezo 11 tu imeishachezwa huku Manu U wakiwa wa tano kwenye meza ya ushindi.
Kufungwa mechi moja si mwisho wa dunia.
Msingeshinda ingekuwa disaster kwenu,hii mechi kwenu ilikuwa kama fainali wakati kwetu ilikuwa ni game ya kawaida kama zidi ya timu zingine.
Naomba nimalizie update yangu
22.10.13 - Champions League: Arsenal 1 v B. Dortmund 2
26.10.13 - EPL: C.Palace 0 v Arsenal 2
29.10.13 - Capital One cup: Arsenal 0 v Chelsea 2
02.11.13 - EPL: Arsenal 2 v Liverpool 0
06.11.13 - Champions League: B. Dortmund 0 v Arsenal 1
10.11.13 - EPL: Man. Utd 1 v Arsenal 0
Manchester United kuifunga Arsenal ni kitu cha kawaida sio lazima afunge RVP,kumbuka Juda amekuja last season na mlikuwa mnapewa dozi kama kawaida karibia kila msimu.Najua mnaumia sana RVP anavyowafunga wa kumlaumu ni kocha wenu kwa kutuuzia tena kwa bei cheewewe unatokea pandi zipi?
Leo kila mtu amefufuka kutowa pole hata Mossad amekuja, sawa ligi ngumu leo sina maneno lakini sikiliza maneno yangu
RVP huu ndio msimu wake wa mwisho kuifunga Arsenal hata Rooney leo alimshangaa lakini mimi ninasema huu ndio msimu wake wa mwisho kuifunga Arsenal msimu unaokuja utakuja kunieleza
Arsenal wakikutana na Manchester United wanakuwa waoga sana sijui woga unatoka wapi,Moyes alikuwa mjanja sana kumuanzisha Jones ingawa watu wengi walimponda but ndio aliweza kabisa kuwazima Ozil na Ramsey.Tatizo kubwa la Ozil sio mchezaji wa big match nakumbuka hata akiwa Madrid alikuwa anaflop game nyingi sana walizokuwa wanacheza na Barca.Still bado mna tatizo la msingi mlipaswa kusajili striker Higuain angewafaa sana huwezi kushinda ubingwa ukiwa na striker kama BertnderWadau tumefungwa ile game kuna mambo niliyaona kabla ya game..baada ya kabla ya game kujua kuwa Rosicky hachezi na per mertsacker nikajua ugumu upo tena sana..kwa nini jamaa niliona kikos chao kati kuna phil jones na huyu jamaa kazi yake ni kutibua tu na msimu uliopita alimkaba christiano Ronaldo kule bernabeu mpaka akapotea mchezoni...rosicky alipata flu na per ila rosicky ni very quick midfielder and good passer na technical brilliant pia..na jana kwa ukabaji wao angewaletea shida sana na foul zingekuwa nyingi ila ni ngumu sana kumpoteza rosicky...per yeye ni mzuri sana kwenye aerial threat hasa kwenye set pieces balls..na ndio beki tulienae pekee anaeweza kuzikaba zonal marking kwenye hizo set pieces..
kwa mujibu wa wyne Rooney alisema baada ya game ya jana kuwa walijua kuwa ingekuwa ngumu sana kuwafunga Arsenal kwa clear chanses wakafanya practice ya kuwavamia kwenye kona kwani Arsenal wachezaji wao wengi wafupi kulinganisha na Manure..ikazaa matunda
phil jones alipokwenda kuwa beki wa kati pale kati tukafufuka kwani dogo anakaba sana..kwangu ndie Man of the match...
All in all mechi tatu mfululizo tumecheza na combinesheni ngumu sana za washambuliaji kama...sturridge na Suarez...Marco Reus na Lewandoski...na Wyne Rooney na Robin Van Persie..na tumeruhusu bao moja...tena la Zonal Marking...defence yetu ime improve sana...
Rosicky na per ni muhimu sana..
Waache waendelee na sherehe ya ushindi mkubwa,it seems hawakutegemea kabisa!
Arsenal wakikutana na Manchester United wanakuwa waoga sana sijui woga unatoka wapi,Moyes alikuwa mjanja sana kumuanzisha Jones ingawa watu wengi walimponda but ndio aliweza kabisa kuwazima Ozil na Ramsey.Tatizo kubwa la Ozil sio mchezaji wa big match nakumbuka hata akiwa Madrid alikuwa anaflop game nyingi sana walizokuwa wanacheza na Barca.Still bado mna tatizo la msingi mlipaswa kusajili striker Higuain angewafaa sana huwezi kushinda ubingwa ukiwa na striker kama Bertnder
Hilo unalosema ni jina la uwanja ambalo linaweza kubadilika pindi mkataba ukimalizika without renewal.Mkuu inaonekana uliisusa Arsenal muda mrefu sana naona usajili wa Ozil umekurudisha,Highbury ulifungwa siku nyingi siku hizi kuna Emirates
Mechi huwa mnachezea kwenye hilo jengo la Highbury au uwanjani Emirates?Hilo unalosema ni jina la uwanja ambalo linaweza kubadilika pindi mkataba ukimalizika without renewal.
Mimi ninataja jengo la office za Arsenal club na pia eneo la sehemu yenyewe.
Belo nawe bana.....Mechi huwa mnachezea kwenye hilo jengo la Highbury au uwanjani Emirates?
.....#MatchDayLive ....
"utabiri" wa hali ya hewa humu jukwaani unaonyesha [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=MburuKenge]#MburuKenge [/URL] wengi wataambulia disappointment fulani leo...
Sie #WashikaBunduki twawaambia #MtazoeaTu !
COYG!!!
mfarisayo unaua aisee...jamaa wanachungulia kwenye jukwaa lao...
Hiyo ndiyo tabia halisi ya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=MburuKenge]#MburuKenge [/URL], kujificha kwenye nyumba yake...