Hongera kwa Man Utd kwa kushinda lakini badio tunaongoza ligi na 2 points na Man Utd wapo nyuma yetu kwa 5 points..
Arsenal leo wameonyesha wamechoka sana hasa Cazorla na Giroud ambae amekuwa akicheza kule mbele peke yake msimu mzima.
Arsene Wenger itabidi asajili mshambuliaji mwingine ifikapo mwezi January, ingawa Podolskina Theo Walcott wanarudi baada ya wiki moja.
Si mbaya, mpaka sasa hii ni mechi ya pili kwenye ligi hii tunapoteza na inabidi baadhi ya wachezaji muhimu wapumzishwe.
Ramsey, Ozil, Giroud na Cazorla wamechoka sana.