Sizani Kama pengo ni Huyo pengo ni rocisky tatizo la Arsenal wakimchezewa buti haichezi mpira united wamekuja na speed na Mabavu yakuwapiga na viatu Arsenal wanatakiwa speed na kujiamini ndio watawafunga hii Mishetani mekundu, Rocisky huwa anatowa Pasi haraka na kwenda speed Arsenal wanaogopa viatu.
Manure wanazawadiwa kona hapa yaani huyu refa stupid kabisa ... ... .... Then golikipa anaumizwa ... .... .Dah mpunga wa leo haya tutaona second half watakuja kivipi....