Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wanachema bado hatujakutana na timu kubwa ..... .... .... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Matokeo haya yanaifanya mechi yetu na MANUTD kuwa ya NUSU UWANJA na watapark TRENI LA MWAKYEMBE na kucheza kama walivyokuwa wana cheza CHELSEA walipochukua CHAMPIONS LEAGUE lakini haitawasaidia angalia BVB na wao jana wakawa wanakaa nyuma wanampelekea ndefu LEWANDOWSKI ili aweze kutafuta nafasi na ule ndio mpira ambao MANUTD wanautumia sana wanapokutana na ARSENAL,ila safari hii wajue team ya arsenal inaendelea kuwa imara kwenye sehemu ya mabeki na kiungo na ndio maana hata LIVERPOOL na BORUSSIA wameshindwa kupata GOLI tusubiri JUMAPILI KITAKACHOTOKEA ingawa nawapa asilimia kubwa ARSENAL kushinda kwa kuwa upande wa viungo ikiongezewa nguvu na FLAMINI naamini arsenal itashinda maana UGUMU ni kuwa MANUTD wanaikamia sana ARSENAL wanapokutana kwenye michuano yoyote ile
 
Kwa game ya jumapili aaaah wala msiwe na wasiwasi ingawa itaongeza gap kati yetu ila nitashabikia Arsen8...!!!!!
 
Sikumbuki mara ya mwisho arsenal kuifunga Man U ilikuwa lini. ..!!Ila nakumbuka Nasri aliwaua! !wakati yupo very very young
 
Jana nimelala usingizi bora kabisa baada ya Ramsey kutinga nyavu za borusian.......was interesting and even more

encouraging mwe raha zingine usiombe jamani zikufikie.
 
Sikumbuki mara ya mwisho arsenal kuifunga Man U ilikuwa lini. ..!!Ila nakumbuka Nasri aliwaua! !wakati yupo very very young

Mara ya mwisho ilikuwa 2011 ramsey alifunga Arsenal ilishinda 1-0 kesho yake akafa whitney Houston...sio very very very long time..alafu kwa Manure hii itakula kitu tu...kwani Westbrom hawakuwahi kupata matokeo OT ya ushindi toka 1978 wamevunja uteja..kwa timu hii hakuna anaegopa wao ndio watakaokuwa na woga...bring dem...
 
hii arsenal msimu huu bab kubwa sana!kwa mjuzi yeyote wa soka aliyeangalia mechi ya jana hatoshangaa arsenal hii ikibeba ndoo kwani jana wamecheza kwa discipline sana hususani mabeki ambao baada ya kujua dortmund wana kasi walicheza off side trick ambazo zilitusaidia sana arsenal!ukiwa una mabeki imara na wanaoelewa kama vile unaweza kupata matokeo uwanja wowote tu kwani ukimpiga mtu mmoja ndo game umemaliza
 
article-2490832-193CE3EC00000578-678_634x359.jpg

article-2490832-193CBD4400000578-69_634x451.jpg

Centre stage: Giroud helped assist in creating Arsenal's
winning goal in Dortmund

article-2490832-1941304600000578-727_634x387.jpg

Say cheese! Olivier Giroud takes a picture of himself
during Roger Federer's clash with Richard Gasquet

article-2490832-1941720D00000578-723_634x368.jpg

Cheer up! Giroud (left) and Laurent Koscielny
take in the tennis at the O2 Arena in London

Wachezaji walipata off day leo baada ya mtanange wa jana .... ... ...

  • Thanks
Reactions: Mbu
article-0-193F9B2400000578-109_634x215.jpg

article-2490053-01998D4200000578-86_634x451.jpg

Young Gun: Arsenal signed Aaron Ramsey from Cardiff
in 2008 when he was 17

[h=3]''P.S. WHAT DID PIERS MORGAN HAVE FOR BREAKFAST?
[/h]
The US-based journalist swallowed his pride on Thursday morning and sent a tweet to his 3.8million followers admitting he was wrong on Aaron Ramsey.Alongside a picture of 'humble pie', Morgan said: 'Morning Aaronramsey ....I'm just having breakfast'''

article-2490053-193FEF2600000578-877_622x105.jpg

article-0-193C2DD500000578-361_634x422.jpg

In awe: Borussia Dortmund manager Jurgen Klopp
stands on the halfway line to watch Arsenal warm-up

article-0-193C2C6B00000578-486_634x410.jpg

Mesmerised: Klopp casts his eye over Arsenal's squad
as they train ahead of kick-off at the Westfalenstadion

article-0-193C2B6500000578-136_634x431.jpg

Preparation: Arsenal didn't seem too concerned the opposition manager was watching them so intently​

Jamaa alifahamu nini kinafuata ..... ... ...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
umesahau tulifanya nini kwa Bayern....posh wa ujerumani...!? Ugenini tunakuwa wazuri mno.
ile mechi Bayern walijua walishapita baada ya kushinda 3-1 emirates,kwahiyo kama unakumbuka 75% ya kikosi cha kwanza hakikucheza,na wengine eg Robben aliingia mwishoni,Ribery,Martinez,Lahm,Bastian,Muller,Alaba na wengineo hawakucheza,walikuwepo Dante,Mandzukic na baadhi walipuuzia waliwekeza nguvu ktk kutaka kubeba ligi nadhani kabla ya kucheza na Arsenal,sawa Ujerumani mnakuwa na rekodi na wao wanawafunga kwenu kuanzia Schalke 04,Bayern Munich na BVB,ila mnaweza kupita BVB naona anatoka ila siwaamini sana na wasiwasi na nyie kwanza j2 old trafford .
 
Back
Top Bottom