Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ramssssssssssssssssssssseeeeee eeeeeeeeey Arsenal 1..............Dortmund 0000000000
 
Another chance for Ramsey ... ... corner keeper saves .... ..... .. .
 
Monreal anaingia Carzola anabadilishwa ...... ...... ...... more defensive work .... ...
 
Borussia-Dortmund-v-Arsenal-Aaron-Ramsey-scor_3031610.jpg



Ramsey akiweka chuma wavuni .... ..... ..
 
Jamaa wako hoi wanalilia penalty ..... ... hakuna kitu mpira umekwisha ....... . . ...... ....... safi sana.

Next Old Trashford ..... .... ... ... COYG.
 
LEWA-NDOO-YA WHISKY mwenyewe!,huwezi kutibua birthday ya professor wako wa chuo cha soka halafu ukaachwa ufaulu kiubwete tu!Watanuna sana haters mwaka huu!
 
.....yaaani mpaka huruma, lakini #Mtazoea tu matokeo haya Nzi, Belo, Peasant na #Wakuda wengineo!

Jamaa walichonga sana ooh hatuwezi kuzifunga big teams ...sasa yako wapi ?liva kala kichapo cha mbwa mwizi pale imarati ...hii germany machine dortmund imeoigiwa uani kwao....sasa tunashambuli ngome kongwe jumapili
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom