Mbu, sawa mmeshinda. Lakini presha ilikuwa juu. Hongereni banaa. Hamjataga ila cha moto mmekiona. #brazafromanazamaza
Raha sana mkuu mpigafilimbi....jumapili tunsenda kucheza soka la ukweli ....RVP lazima aanze kuona gere!
Mbu, sawa mmeshinda. Lakini presha ilikuwa juu. Hongereni banaa. Hamjataga ila cha moto mmekiona. #brazafromanazamaza
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama kawa Prof na Giroud wakiwa kwenye press conf. kabla ya mtanange
wa kukata na shoka kesho ... ..... .. COYG
dah...mech 2liofungw na hawa kenge nilipokelewa nyumban kwang na kundi kuwa la wana man u ambao ni majiran zang, leo nashangaa ni mke wangu 2 ananipokea, nahisi wanataman kusikuche.....hahahahahahahah sijui kama jumapili hawatahama mtaa kwel; nshaanza kuwa na wasiwasi wa kupoteza mmajiran msimu huu
Hahahahahahahaha hiyo hatari sanaa mkuu, kwamba Gunners wamesababisha mpaka uanze kupoteza majirani??
Hahahahahahahahahahaaaaaaaa!!
Next plz??