Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
![]()
Mburukenge wameanza kuweweseka khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
......hahahahahaha,......#hawajazoea ati....karibia #watazoea hawa! heheheheheh!
![]()
Mburukenge wameanza kuweweseka khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aibu yao watakujaje hapa!!! Chezea Wenger wewe!!!#Mburukenge hawaonekani kabisa jukwaani...
Duh ghafla nimetamani Arsenal wafungwe kesho....tatizo ndo ilo sasa Man utd kwa sasa hawana uwezo wa kuwafunga...nataman ningekuwa mchawi.
Duh ghafla nimetamani Arsenal wafungwe kesho....tatizo ndo ilo sasa Man utd kwa sasa hawana uwezo wa kuwafunga...nataman ningekuwa mchawi.
Sesinyo anawanyolotesha hapo darajani..
What has that got to do with Gunners .... .... au ndio kujikomba kwenyewe? Nicheke mie khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wewe unaumwa ugonjwa mmoja na Arsene Chenga.....
Miaka 9 ya ukame wa vikombe (hata cha mbuzi) imewapa psychological disorder....
Nakuonea huruma tu....
Wewe unaumwa ugonjwa mmoja na Arsene Chenga.....
Miaka 9 ya ukame wa vikombe (hata cha mbuzi) imewapa psychological disorder....
Nakuonea huruma tu....
nashindwa jinsi gani nikuhurumie mkuu,nipende tu kukupa pole kwa kumwonea huruma mtu anayekuonea huruma (najua hujatambua hali yako)
Beware of your husband...