Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
kuna watu humu ndani utafikiri timu zao hazina thread au hazichezi UCL leo ila kutwa kuja kujishebedua kwenye thread ya Arsenal wakati thread hii maudhui,madhumuni na mantiki yapo post n0 1 kati ya posts 27909 zilizomo humu inayosema
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.soo nyie wengine nendeni kwenu mkasifie timu zenu na sio kutujaziaupuuzi wenu
Mkuki mchungu enh! Tulia upate dozi dogo....