BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Kuna tundu kubwa linavujisha points Mkuu Nzi katika mechi 6 ambazo kama mngeshinda zote basi mngekuwa na points 18 lakini mmeambulia 7 points only na 11 points zimeshavuja tena baadhi ya mechi ambazo mlistahili kabisa kushinda. More yes/More no ni tatizo bahati nzuri limeonekana mapema. Nimeangalia mechi nyingi sana za MANU na miaka yote wacheza walikuwa na confidence ya hali ya juu, lakini mwaka huu siioni confidence hiyo wanakuwa wanajishuku mara nyingi tu, labda siku za usoni halii hii haitakuwepo vinginevyo ni tatizo kubwa sana katika performance ya timu katika mechi yoyote ile.
Kwa hiyo kwa vile shugadad wenu kasema ana imani na Arsene Chenga, ina maana ule mpango wa kujiuzulu akishindwa kuchukua kombe lolote (including Capital One Cup) umekufa? Kheeee kheeee kheeee kheeee kheeee kheeee kheeee...
BTW: Wewe BAK ebu kuja uone jinsi tajiri alivyo na mapenzi na kocha; hivyo kelele zenu nyiye kama mashabiki hata akikosa kikombe cha Capital One, hazitokuwa na maana. Mwenye timu anampenda kocha bana; washabiki kitu gani?? Kheeee kheeee kheeee kheeee kheeee kheeee kheeee...
Last edited by a moderator: