jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 675
- 998
Sio yalikuwa yanawapamba ila hawa jamaa hawajafungwa tokea msimu huu uanze kama sijakosea
ila leo bikira imevunjwa
Sio yalikuwa yanawapamba ila hawa jamaa hawajafungwa tokea msimu huu uanze kama sijakosea
Giroud leo kacheza kama siyo yeye ninayemfaham!!!! Full macontrol...maflick na vyengaa
Nipo Napoli kwa mkopo ha ha ha ha ha Wacha1 kwisa kimbia jumba.
![]()
Marafiki wa Nzi walikuwepo wakishuhudia mkong'oto
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nzi,umekutana na dawa gan tena hurukiruki uku tena???
Tatizo mashabiki wanataka Arsenal ifungwe ili wafurahi sasa wakati kwenye UEFA timu za England yaani zinazotoka Premier League zitakapofanya vibaya ni kwamba wanapunguza idadi ya timu kama zilikuwa nne zinakuwa Tatu kama zamani sasa tuangalie sana kuleta upenzi wakati tunacheza UEFA mimi nadhani ni kuangalia mechi basi upinzani tukikutana EPL huko ndio kwa kuchekana,acha sasa na sisi tuonje RAHA ya miaka 8 ya kujijenga sasa tunakula mavuno 1. Uwanja wa Emirates 2. Tuna fedha ya kununua mchezaji kama 0zil 3. Mazingira yamekuwa mazuri ya kuvutia wachezaji wenye majina wanaocheza kiwango cha kimataifa
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums