Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahaaaaaa,babu alizoea kubebwa na FA/marefa,wachezaji si ni hao hao toka misimu 3 illiyopita??

Hivi unafahamu makamu mwenyekiti wa Arsenal wa zamani David Dein (1983-2007) alikuwa pia makamu mwenyekiti wa FA kuanzia mwaka 2000 hadi 2004?!? Kipindi hicho pia ni makamu mwenyekiti na mmoja wa wamiliki wa Arsenal!! Baada ya mwaka 2004, Dein alichaguliwa kuwa mjumbe wa bodi ya FA kama mmoja wa wawakilishi wa vilabu vya premier league kupitia mgongo wa Arsenal, kuanzia 2004 hadi 2006. Kumbuka Dein amekuwepo kwenye korido za FA toka mwaka 1986 (kipindi SAF anachaguliwa kuwa meneja). Hiyo inaonyesha ni namna gani Dein alivyokuwa kigogo wa soka Uingereza, ilhali ni mmoja wa vigogo na wamiliki wa timu inayoshiriki ligi kuu!!!

Sasa kama FA ilikuwa inaibeba Manchester United, basi Dein alikuwa mpuuzi kupita maelezo. Maana naye alihusika katika kuibeba Man United huku timu yake ikiwa majanga matupu!! Maana kwa kipindi Dein yupo kwenye FA (kuanzia 1986) na Arsenal (kuanzia 1983) hadi anaondoka FA mwaka 2006, United ilichukua ubingwa wa ligi mara 9 huku Arsenal ikichukua mara 5 tu, huku Arsenal ikichukua ubingwa wa premier league (ligi ambayo Dein alishiriki kuanzisha) mara 3 tu! Hizo mara 9 za United ni za enzi ya premier league tu, na katika miaka ambayo Dein alikuwa kigogo wa Arsenal na FA kwa wakati mmoja.

Nyiye goons msiwe mnajiropokea tu vitu msivyovifahamu.
 
Moyes analalamika hana world class players .. Aje goners tumpe diaby na miyachi kwa mkopo tuokoe jahazi ...

What an i d i o t Evertonians wanaweza kumaliza juu ya ManEverton khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahaha kwani hiyo mnajali mbona van Persie mmemchukuwa ... Njooni mkope diaby na miyachi ... At list mtamaliza top 15

Viper utatuulia nzi wetu angalia anavyowewesekaweweseka. Muonee huruma wajameni kha!
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
article-2438622-1865E5D900000578-165_634x349.jpg

Calm: Arsene Wenger and Per Mertesacker
looked relaxed ahead of hosting Napoli

article-2438622-1865E40300000578-532_634x340.jpg

Attention! Wenger leads from the front with his two German stars,
including
Mesut Ozil, not far behind

article-2438622-1866E19E00000578-840_634x646.jpg

Per Mertesacker comforts Jack Wilshere during training
ahead of the Napoli clash

article-2438622-1866453400000578-103_634x368.jpg

The Arsenal boss runs the rule over Olivier Giroud (right) and Laurent Koscielny

article-2438622-18666C0100000578-341_634x385.jpg

article-2438622-1866725F00000578-647_634x390.jpg

Maandalizi ya mwisho mwisho leo hii kabla ya mtanange wa kesho
kwenye CL na Napoli.
Emirates Stadium.
 
Mkuu Wacha, nasikia Everton wana point 9 wamewapiga Newcastle 3-1 na wapo sasa juu ya Man Utd!, yaani kazi yote ya kuiandaa Everton aliyoifanya David Moyes ya kuja kuwa kuwa juu ya Man Utd kwenye msimamo wa ligi imekamilika.
 
Naangalia hapa 4 extra minutes Everton 3 - 2 Newcastle, wanataka kuleta maajabu .... .... ...

Mpira umeisha sasa Everton unbeaten side so far .... ..... ..
 
Wakuu nilipotea kidogo kutokana na shughuli nyingi.

Meneja Arsene Wenger leo ametoa team news na Thomas Rosicky amerudi na yupo tayari kucheza kesho dhidi ya Napoli ya Italy mechi ambayo ni muhimu sana kwetu.

Rosiky alikuwa na matatizo ya musuli na amepona.

Theo Walcott na Santi Cazorla huenda wakarudi kwenye mechi na Norwich au Crystal Palace ambazo ni baada ya wiki mbili zijazo.
 
Hahaha kwani hiyo mnajali mbona van Persie mmemchukuwa ... Njooni mkope diaby na miyachi ... At list mtamaliza top 15
RVP alicheza hapo misimu 8 hakuambulia kitu,kaja Manu msimu mmoja kashachukua EPL while hakuna hata mchezaji mmoja wa Arsenal aliyechukua EPL kwenye kikosi chenu.Tunawasubiri wengine ukame ukizidi watakuja wenyewe
 
Ndo nakwambia njooni muwachukue hao wawili .. Kawaida mchazaji wa arsenal akij a manure starting 11 laxima .. Anakuwa tegemeo .. Diaby na miyachi hswatowapa ubingwa ila watawavuta vuta at list mmalize juu ya swanswea
 
Huwa wanakuja wenyewe,tutawapokea kwa mikono miwili
 
article-2439472-186942BF00000578-80_634x446.jpg
Coach trip: Rafa Benitez takes a training session at the Emirates ahead of their Champions League clash

article-2439472-1869423800000578-892_634x423.jpg

article-0-18692B3000000578-807_634x432.jpg
The late, late show: Benitez's Liverpool sent Arsenal out of the Champions League quarter-finals in 2008

article-0-1866BBDB00000578-146_634x423.jpg
Wary: Arsene Wenger has highlighted Napoli's danger on the counter-attack ahead of the game at the Emirates

article-0-182EE01600000578-150_634x481.jpg
The one that got away? Gonzalo Higuain came close to joining Arsenal in the summer

article-2439472-18669DEC00000578-146_306x423.jpg

Arsenal 1 Napoli 1: Both clubs made important big money signings from Real Madrid during the summer

kuna watu humu ndani utafikiri timu zao hazina thread au hazichezi UCL leo ila kutwa kuja kujishebedua kwenye thread ya Arsenal wakati thread hii maudhui,madhumuni na mantiki yapo post n0 1 kati ya posts 27909 zilizomo humu inayosema
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.soo nyie wengine nendeni kwenu mkasifie timu zenu na sio kutujaziaupuuzi wenu
 
Chamakh
Hao wote unaowaona wanashinda humu eidha wana gubu au wanapenda hawapendi bado hawajaamua au wivu unawahangaisha
kuna watu humu ndani utafikiri timu zao hazina thread au hazichezi UCL leo ila kutwa kuja kujishebedua kwenye thread ya Arsenal wakati thread hii maudhui,madhumuni na mantiki yapo post n0 1 kati ya posts 27909 zilizomo humu inayosema
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.soo nyie wengine nendeni kwenu mkasifie timu zenu na sio kutujaziaupuuzi wenu
 
Tafuna hiyo Napoli leo,Guners msiache kitu......

Naona goons mnaikimbia post yangu. Ngoja niwawekee tena. Inaonyesha jinsi FA kupitia kwa aliyekuwa mmoja wa wamiliki na vigogo wa Arsenal ilivyokuwa ikiibeba Man United!!

kheeee kheeee kheee kheee

Hivi unafahamu makamu mwenyekiti wa Arsenal wa zamani David Dein (1983-2007) alikuwa pia makamu mwenyekiti wa FA kuanzia mwaka 2000 hadi 2004?!? Kipindi hicho pia ni makamu mwenyekiti na mmoja wa wamiliki wa Arsenal!! Baada ya mwaka 2004, Dein alichaguliwa kuwa mjumbe wa bodi ya FA kama mmoja wa wawakilishi wa vilabu vya premier league kupitia mgongo wa Arsenal, kuanzia 2004 hadi 2006. Kumbuka Dein amekuwepo kwenye korido za FA toka mwaka 1986 (kipindi SAF anachaguliwa kuwa meneja). Hiyo inaonyesha ni namna gani Dein alivyokuwa kigogo wa soka Uingereza, ilhali ni mmoja wa vigogo na wamiliki wa timu inayoshiriki ligi kuu!!!

Sasa kama FA ilikuwa inaibeba Manchester United, basi Dein alikuwa mpuuzi kupita maelezo. Maana naye alihusika katika kuibeba Man United huku timu yake ikiwa majanga matupu!! Maana kwa kipindi Dein yupo kwenye FA (kuanzia 1986) na Arsenal (kuanzia 1983) hadi anaondoka FA mwaka 2006, United ilichukua ubingwa wa ligi mara 9 huku Arsenal ikichukua mara 5 tu, huku Arsenal ikichukua ubingwa wa premier league (ligi ambayo Dein alishiriki kuanzisha) mara 3 tu! Hizo mara 9 za United ni za enzi ya premier league tu, na katika miaka ambayo Dein alikuwa kigogo wa Arsenal na FA kwa wakati mmoja.

Nyiye goons msiwe mnajiropokea tu vitu msivyovifahamu.
 
Kawaida mchazaji wa arsenal akij a manure starting 11 laxima..

Eti kawaida!! Ebu nitajie wachezaji wa Arsenal (ukimwondoa RvP) waliokuja United na kutamba?!?

Unamfahamu Viv Anderson? Mchezaji mweusi wa kwanza kucheza timu a Uingereza. Huyu alikuja United kwa mapenzi yake akiwa na miaka 30. Cheki hapa alivyosema juu ya uhamisho wake (alikuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na kocha mpya SAF):

"I didn't want to look back when I was old and say I had the chance to play for Man United and never took it. So Sir Alex didn't have to sell me anything really. I had made my mind before".

Chanzo:

www.espn.co.uk/football/sport/story/166349.html

Huyo alienda United kwa mapenzi yake! Ni sawa na RvP alivyokuja United kwa kupenda ilhali Man Shitty walimtaka kwa hela mingi na mshahara mnono. Lakini akataka kuja kwenye klabu kubwa zaidi Uingereza.

Ila mimi nitakwambia kinyume chake. Nakutajia mchezaji galasa wa United aliochukuliwa na Arsenal. Naye ni Mikael Silvestre. Pia kuna galasa lingine lililokuwa halipati hata namba United, lakini Arsenal wakalichukua, nalo ni Jim Leighton.

Hii inapatikana kwenye kijitovuti cha Goons.

www.arsenal.com/news/news-archive/manchester-united-to-arsenal
 
Back
Top Bottom