Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

article-2424585-1BE71F19000005DC-355_634x565.jpg

Club record:
Arsenal tweeted their ten away victories

Prof anafahamu kuwanyamazisha wanoko. ....
 
mkuu kwani usajili hujaufatilia?mbona wamemchukua kipa namba mbili wa timu ya taifa ya italy-VIVIANO

Sorry nilipitwa na hii kaka, kafanye research yako vizuri utagundua kuwa Viviano sio kipa wa pili wala wa tatu wa Italy.
 
Hao wa darajani wamenywea hawana la kuongea hivi sasa.

Sasa hivi the Special One anapewa kila aina ya jina baya...ahaaaaa Ngoma ikivuma sana ujue inakaribia kupasuka.Mourihno hana jipya kwa sasa.
Kwa Depth ya kikosi cha Chelsea huwezi kupoteza mechi kirahisi hivi...
Strikers watatu wenye ubora wa juu,Viungo wa kutosha.
JE UNGEPEWA TIMU KAMA ARSENAL YENYE MAJERUHI NUSU YA TIMU????? Lazima angeshuka daraja......
 
At least he had 2 champions league silverwares under his belt. Wenger has ZERO
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa MAN U lakini leo ARSENAL wamenikosha sana. Hongera sana ARSENAL kwa ushindi ugenini. Na kwa ushindi huu Arsenal itazidi kuimarika sana.

Arsenal are pretenders and not contenders
 
Back
Top Bottom