Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usajili wa Ozil sio kitu kibaya but in general bado hii transfer window imekua ni dissapointment kwangu binafsi. Ozil ni attacking midfielder lakini in my opinion we were desperate for a defensive midfielder na striker. Kama uongozi ungekua makini tungeweza kuwa na timu ilikamilika na kutisha hata kabla ya hizi dakika za mwisho.
 
Defensive mid si tayari tumeshamchukuwa Flamini? J2 alituonyesha kuwa bado yupo kwenye fom. Wasiwas wangu ni striker cuz hatuna back up ya Giroud.
 
msimu uliopita arsenal ilikuwa timu pekee iliyokuwa na wafungaji wengi wenye double figures , sion tatzo kwenye ufungaji! Mesut anaongeza utaalam wa pas za mwisho pale kati! Hope msim wetu huu
 
Usajili wa Ozil sio kitu kibaya but in general bado hii transfer window imekua ni dissapointment kwangu binafsi. Ozil ni attacking midfielder lakini in my opinion we were desperate for a defensive midfielder na striker. Kama uongozi ungekua makini tungeweza kuwa na timu ilikamilika na kutisha hata kabla ya hizi dakika za mwisho.
Kama uliangalia mechi ya arsenal Vs Tottenham huyo kiungo mkabaji unaesema nadhani ulimuona na alifanya kazi kubwa sana kwani baada ya kuumia Wilshere aliingia Flamini na mambo yakawa kwa kiasi kikubwa alileta uhai kwenye kiungo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sasa tumeshampata Ozil. Demba Ba alikuwa aje kwa mkopo lakini Jose Morinho akasema Arsenal ni 'serious title contenders' atuwezi kuwapatia Demba Ba kwani itakuwa majanga kwao!
....what a turn around of events!!
 
Mi siwezi kupima ubora wa mchezaji yeyote kama timu pinzani ni Spurs! Spurs wabovu sana tena na sasa Bale kaondoka ndo wameisha kabisa. Ngoja tucheza na one of the big boys ndo tutajua how good our team is. Huyu Flamini angekua mzuri kihiivyo, Milan wasinge m release.
 
I think thats is not the definition inside the clud...kama kamaliza mkataba na hawana tena umuhimu wa kumuongezea, is just a free bond!! The guy flamini ni old gold mzee, bt nakubaliana na wewe ngoja tukutane na another big ndo tujue how we can stand for!!
 
Mi siwezi kupima ubora wa mchezaji yeyote kama timu pinzani ni Spurs! Spurs wabovu sana tena na sasa Bale kaondoka ndo wameisha kabisa. Ngoja tucheza na one of the big boys ndo tutajua how good our team is. Huyu Flamini angekua mzuri kihiivyo, Milan wasinge m release.

kwa hiyo mchezaji akiwa released basi kiwango kinakuwa kibovu?
Haupo sahihi mkuu,mchezaji ana haki ya kuongeza au kuacha kuongeza mkataba wake,kwani alivyoondoka arsenal alikuwa hana kiwango kizuri?mbona aliondoka huru pia,
 
Mi siwezi kupima ubora wa mchezaji yeyote kama timu pinzani ni Spurs! Spurs wabovu sana tena na sasa Bale kaondoka ndo wameisha kabisa. Ngoja tucheza na one of the big boys ndo tutajua how good our team is. Huyu Flamini angekua mzuri kihiivyo, Milan wasinge m release.
Milan walimwachia mkataba uishe na walijaribu kumuongezea ila alikataa na ndio tabia yake kuhama kwa free transfers kwani Arsenal walimpata mwaka 2004 bure kutoka marseile na akaenda Ac milan bure na amerudi bure kuna shida kwani
 
Anyway labda Flamini ataweza ila tusubiri vipimo vya ukweli, Man U, Man City na Chelsea. Bado squad iko weak in general in terms of number, tumefanya clearance kubwa sana ya magarasa na nili expect tungesajili world class striker coz sanogo is still learning his trade, Giroud anahitaji msaada pale mbele. Pia nilikua nategemea kuona CD mmoja manake as you have seen recently tunatumia Sagna kucheza kama beki wa kati, injuries na suspensions zitakwepo siku zote so we need enough cover. Pia nlitegemea kuona kipa atakayemchallenge Szczesny.
 
mkuu kwani usajili hujaufatilia?mbona wamemchukua kipa namba mbili wa timu ya taifa ya italy-VIVIANO,
isitoshe mipango sio matumizi kwani babu alipanga kutumia £80m jana ila akatumia 42m,
sio mbaya sana kwani kiasi kilichobaki kitatumika dirisha dogo la january!
 
......quality guys, quality!....
Quantitative is not a Qualitative score!
Spuds wamesajili wachezaji weeeengi, results je?

Squad yetu ipo sawa, FA cup na Capital One kina Gnarby, Ryo Miyaichi, Park, Bendtner na Zabalalen watacheza!

January dirisha dogo tutazibia viraka...
 
ozil unakwenda huko...
mwanakwetu halahala, hiyo nyumba ya msela, haina vikombe wala bilauli.
Anakula kwa Mama Ntilie, anaoga choo cha kulipia stendi.
Kama huamini nenda kwenye kabati lake uone mavi ya Mende yalivyojaa.

We jishaue tu

Ha ha ha
 
......quality guys, quality!....
Quantitative is not a Qualitative score!
Spuds wamesajili wachezaji weeeengi, results je?

Squad yetu ipo sawa, FA cup na Capital One kina Gnarby, Ryo Miyaichi, Park, Bendtner na Zabalalen watacheza!

January dirisha dogo tutazibia viraka...

Nafikiri Spurs ndio wamefanya usajili mzuri kuliko team zote za EPL tatizo itachukua muda wachezaji kuzoeana.Wachezaji wao wengi ni vijana na baada ya miaka 2/3 huenda wakauza wachezaji kupata mpunga mwingine,kumbuka Daniel Levy ni mtaalamu wa kuuza wachezaji kuanzia Robbie Keane,Berbatov,Carick,Mondric na Bale
 
Daah! Babu naona kaamua kupotezea lakini ukwel kuwa kulikuwa na umuhimu mkubwa sana wa kusajil CB na mshambuliaji mmoja wa kumpa changamoto Giroud.
Nadhani tunaitajika hata kuridhika na tulichopata maana nani alijua surprise ya babu wenger ni kutuletea Ozil tena kwa £ 42.5M ? Ukweli kwa sasa sio wakati wa kuokoteza wachezaji kwa timu kama Arsenal na ndio maana alimtaka Suarez mpaka alipoona Liverpool watamchelewesha ndio amemchukua Ozil kwa kuwa ni kama Bergkamp mpya,kwa kumpata Ozil tumefungua njia mpya kuwaleta wachezaji wazuri pia angalia suala la mshahara nao wachezaji hawatakiwi kupishana sana kiasi kwamba unaweza leta mgomo wa chini kwa chini nadhani babu anachotakiwa kuangalia ni suala la mishahara kwa wachezaji atakaowaleta na wengi wanataka mishahara mikubwa,kama uliangalia mechi na Tottenham tulimkosa mtu kama Ozil kuweza kumalizia ile mipira na kupata magoli mengi,na tushukuru kumpata Flamini kwa kweli amecheza kiungo ile ya Song maana tatizo la Arsenal lilikuwa ni Kiungo mkabaji anaejua kazi yake tuseme ukweli Ramsey na Arteta walikuwa wanajitahidi lakini sio kama anavyocheza Flamini

Back
Top Bottom