Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona leo Theo anapwaya ... .... ... Come on you Gunners.
 
Theo baada ya kupata goli lake la kwanza kwenye mtanange msimu huu anabadilishwa na Monreal anachukua nafasi yake ... ..
 
habari ya wewe mkuu?


Mambo poa naona Marseille siyo wabaya sana ki-vile mpira dakika 90 .... ..... ... marudiano Emirates ... ...huyu refa mshenzi anaachia ati advantage naona anataka kuwapa goli la sadakarawe .... ... ... hongera zenu kwa mpira wa jana chacha mmsukume mlevi weekend ... .. .
 
Ramsey kama kawa 2 up safi sana ... .. . kama Prof alivyoagiza ..... ...

BTW dakika ya 84 na usheeee
 
Dah naona mchezaji wa Marseille anaingia golini kwa Gunners bila mpira khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ryo Miyaichi anaingia hapa kupata uzoefu kidogo ... . ..
 
Mwanzo mzuri, kundi gumu hili...
Napoli nae kamla mtu mbili bila majibu..
 
Refa mjinga huyu anatoa goli la matuta .... .... kwenye dakika za majeruhi ... .. it was never a penalty. its all over 2 - 1. Haya next weekend Stoke ...... .... ...

Hongereni
Gunners ushindi ni wetu.


Pics baadaye kidogo.
 
Ukiona manyoya......Jua kaliwa....

Hongera Gunners.....

Poor Jose....Naona daraja linazidi kuzama....

Mwaka wa shetani.....

Na bado watakoma mechi ya pili wanakung'utwa naona mambo mazuri tu pale kwenye cowshed. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom