Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,261
- 1,253
Jirani,
Nimekuelewa vizuri sana na samahani sana kama nimekukwaza na maneno yangu yasiyostahili, nimeliona hilo na sikutegemea kutumia maneno hayo. I sincerely apologize for my mistake, and hope that you receive my apology with good spirit. Natarajia tutaendelea na upinzani wenye heshima kama kawaida.
Nakutakia msimu mwema na hongereni kwa ushindi, naona mwaka wenu huu kama mnavyosema kila mwanzo wa msimu.
Soccer ni mchezo wa amani na sio ugomvi so natumai mtayamaliza mkuu na mambo yataendelea kusonga.