Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Taja watatu? alafu Henry huwezi kujivunia kuwa kaibuliwa na Arsenal. Tatizo lenu mnaanzia kufuatilia wachezaji wakishafika Arsenal.

kw hyo unataka kusema henry alkuwa star kabla ya kuja arsenal, naomba nipe vigezo mkuu...

Wewe mdwanzi kweli Henry amekuja arsenal akitoka Italy nadhani Juventus akiwa mchezaji wa kawaida na zaidi alikuwa anatumiwa kama winga, amekuja London akatengenezwa akawekwa kati akaanza kutupia kama hana akili nzuri, wewe ndio mshabiki oya oya ambae umeanza kufatilia EPL baada ya ABROMOVICH kuinunua CHELSEA.

Kumbe mpo wengi mlioanza kufuatilia mpira juzi, Henry alikuwa mkali toka akiwa Monaco (1992-1999). Soma vizuri habari zake utakuja kuthibitisha hilo na aliweka record nyingi tu ikiwepo kufunga magoli mengi kwenye UEFA (1997-1998) kuliko mchezaji mwingine mfaransa.

Suala la kutoka Juve akiwa wa kawaida ni suala la Ligi na mfumo wa Italy ulimkata pia unatakiwa kukumbuka kuwa hakukaa sana Juve, ametoka Monaco kwenda Juve January 1999 na Ameondoka Juve kwenda arsenal Mwaka huo huo mwezi wa nane.

Na kwa kujua kiwango chake hata bei yake ilikuwa juu pia arenal walimchukua kwa £11 million, Kwa miaka ya 1990s hiyo ilikuwa bei kubwa sana.

Acha hizo wewe ... Henry huko kote alikotoka alikuwa ni winger ..

Nani aliyemtengeneza akawa striker na finisher mzuri?

Jibu unalo hata kama hutaki kusema ?

Kwani alipokuwa Winga Monaco hakuwa anafunga?

Henry amekuja Arsenal akiwa ni world cup winner na ndio alikuwa mfungaji mwenye magoli mengi zaid kwa timu ya Ufaransa kwenye michuano hiyo ya mwaka 1998. Sidhani kama haujui mpira vizuri unaweza kuchaguliwa kwenye kikosi cha wakati huo cha Ufaransa kilichokuwa na vipaji kibao, achilia mbali kuwa mfungaji bora wa timu.
 
Hata Torres s.africa alikuwa mfungaji Bora lakini nani mchezaji bora wa dunia according to Fifa ? ..

Kuwa na magoli mengi katika world cup doesn't make mchezaji kuwa world best ..

Ukweli utabaki under wenger .. Henry amekuwa converted na kuwa finisher mzuri zaidi ...
 
OLEG SALENKO wa russia alikuwa kati ya waliofunga mabao mengi World Cup ya 1994 USA akifukuzana na Romario wa brazil lakini hakuwa mchezaji mwenye mafanikio kabra na baada ya hapo, hivyo naendelea kusisitiza Henry ametengenezwa Arsenal na mzee Wenger hadi kuwa World Class prayer.
 
Jamani wana Arsenal wenzangu naomba tukae kimya,tumeongea mno mpaka wapinzani wanafura kwa jazba...tusubiri vitendo uwanjani,vitendo vikiongea hamna atakaye criticize any more!

Kweli aisee, naifike mahali tuache miguu ya wachezaji iongee.., tupunguze presha bandugu...
 
Hata Torres s.africa alikuwa mfungaji Bora lakini nani mchezaji bora wa dunia according to Fifa ? ..

Kuwa na magoli mengi katika world cup doesn't make mchezaji kuwa world best ..

Ukweli utabaki under wenger .. Henry amekuwa converted na kuwa finisher mzuri zaidi ...

Mh. Viper
Naona umeanza ku-flip flop kwenye argument yako. Hatuongelei mchezaji bora wa dunia hapa, na kwanza hata Henry mwenyewe hajawahi kuwa mchezaji bora wa Dunia according to FIFA.
 
Bit late but well done Monsieur for signing Ozil. Now a few more in the next windows please. Thanks for finally listening :becky:
 
article-2417854-1BC35E12000005DC-433_634x528.jpg

Friends already? Alex Oxlade-Chamberlain is among
the first Arsenal players to meet
Mesut Ozil

article-2417854-1BC35F73000005DC-7_634x367.jpg

New surroundings: Ozil has been pictured at Arsenal's
London Colney training ground for the first time

article-2417854-1BC3601B000005DC-152_634x423.jpg

Club and country:
Lukas Podolski and Ozil have already combined
for the Germany national team

article-2417854-1BBFEF25000005DC-119_634x392.jpg

Classy operator: Ozil again highlighted his ability
in Germany's 3-0 win away to the Faroe Islands

BTW Sherehe za kumpongeza Rafa zilifana baada ya kumrarua Joka pale NY.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Mbona anarembua hivyo? Au ndiyo pusti?! khe khe khe khe khe
 
Arsenal:
Szczesny, Jenkinson, Sagna, Koscielny, Gibbs, Wilshere, Flamini, Ozil, Walcott, Giroud, Ramsey.

Subs:

Vermaelen, Monreal, Fabianski, Frimpong, Miyaichi, Gnabry, Akpom.
 
Kama kawa dadadek ozil assists,giroud goal

Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga?
 
Back
Top Bottom