Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Heheeeeeeeeeeee...................Naona unanifuatafuata sana jirani yangu, bahati mbaya ni kwamba nilishaoa sihitaji nyumba ndogo. Habari mbaya zaidi kwako ni kwamba mimi niko straight, sina mpango na wassenge hivyo jaribu bahati yako kwingine.
Yashakuwa hayo ndugu......
Mi nilijua ni utani tu wa soka kama wewe unavokujaga hapa na maneno ya shombo dhidi ya mashabiki wa Arsenal......
Kumbe mkuki kwa Nguruwee.......
Btw.........Siwezi kukurudishia tusi lolote kati ya uliyonitukana maana kufanya hivyo nitakuwa si Muungwana/mwanamichezo......
Kweli kufungwa kubaya.......Chezea Everton wewe!
Kwa maneno yako hapo juu (kwenye nyekundu)....Huna haki ya kuendelea kujiita mwanamichezo/shabiki wa soka