Tuwekee picha ya Beki wa Palace akipewa red au Van P akifunga penati..
Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga?
Sina la kusema!Sagna akimshikilia mtu na kumng'ata na refa kukataa goli
Masud Wazir hajafunga la ushindi?
Sagna akimshikilia mtu na kumng'ata na refa kukataa goli
Aise huu game ya sunbdekand nguummuu..!
Ila ushindi upo
Bado tuko juu ya MANU hahahahah lol!
Tushamaliza game tayari....
Asante Ramsey......ngoja nivute kasi ya kuwashangalia Everton saa moja na nusu...
Everton si wamecheza na crystal palace leo mchana?
Nilimwona Moyes na Jackson5 Fellaini uwanjani, au?
another 3 critical pts...
Itafahamika Nov. 10 pale OT.