Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
kwenu kumepikwa leo hebu rudi kwenu wacha kuwanga hapa
Ndiyo kazi ya nzi....
kwenu kumepikwa leo hebu rudi kwenu wacha kuwanga hapa
kwenu kumepikwa leo hebu rudi kwenu wacha kuwanga hapa
Kwa waelewa wa mpira hata Liverpool,Mancity,Tottenham wakicheza na Chelsea usishangae wakimfunga,Tatizo lilionekana tokea walipocheza na Aston Villa na Man Utd sasa walitegemea nini kwa timu kama Everton wanaocheza mpira wa pasi na kasi kubwa tutegemee kuona umuhimu wa Makocha sio kuwa na wachezaji Bora ambao hawachezi kitimu,Angalia mfano wa Madrid usiku walicheza kawaida sana tofauti na wapinzani wao waliocheza kitimu zaidi na ushirikiano mkubwaHawez kuja...aibu imewanata mata-ni-ko
..wale wavamizi toka
Stamford Bridge wanaokesha kwenye jukwaa hili siwaoni kabisa leo....nini
kimewasibu?
Kwa waelewa wa mpira hata Liverpool,Mancity,Tottenham wakicheza na Chelsea usishangae wakimfunga,Tatizo lilionekana tokea walipocheza na Aston Villa na Man Utd sasa walitegemea nini kwa timu kama Everton wanaocheza mpira wa pasi na kasi kubwa tutegemee kuona umuhimu wa Makocha sio kuwa na wachezaji Bora ambao hawachezi kitimu,Angalia mfano wa Madrid usiku walicheza kawaida sana tofauti na wapinzani wao waliocheza kitimu zaidi na ushirikiano mkubwa
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nadhani MANU bado wana kazi ngumu ku-gel, wachezaji ni walewale, ila kocha, mpya anafanya timu iwe na philosophy mpya ambayo itachukua mda kuwa implemented.
Kwa upande wa ARSENAL, nadhani mwaka huu.... kama hakutakuwa na uzembe, basi kutakuwa na silverware japo moja.
Girold kila match anatupia ... Watanuna sana msimu huuu
Kuna mtu anaitwa Peasant na ndugu yangu Masanilo ....
Hawa jamaa siku timu yao inacheza huwa hawacomment na ikifungwa ndo hupotea kabisa jukwaani.....Lakini cha ajabu kila siku wapo jukwaa la Imarati kumwaga shombo......Hawa tunawaita mashabiki maandazi a.k.a vilaza......Wazee wa GUBU......Ya kwao yanawashinda lakini ya wenzao kutwa midomoni mwao.....
KTBFFL
Kama wewe unakumbukumbu nzuri utakubali kuwa mwaka Man Utd wapo vizuri zaidi kwa kucheza na hata defence ya mwaka huu ipo zaidi si sawa na msimu uliopita, Kazi kubwa wanayo City na Chelsea wazee wa kusajili sajili hovyo Kila dirisha dogo na kubwa lazima wasajili.
Naona unanifuatafuata sana jirani yangu, bahati mbaya ni kwamba nilishaoa sihitaji nyumba ndogo. Habari mbaya zaidi kwako ni kwamba mimi niko straight, sina mpango na wassenge hivyo jaribu bahati yako kwingine.
Punguza hasira jirani,huu si uana michezo!Naona unanifuatafuata sana jirani yangu, bahati mbaya ni kwamba nilishaoa sihitaji nyumba ndogo. Habari mbaya zaidi kwako ni kwamba mimi niko straight, sina mpango na wassenge hivyo jaribu bahati yako kwingine.