Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuombe Mungu Mkuu, itakuwa patashika nguo kuchanika kuzichukua 3 points toka kwa wachovu wanaojiita MANU 🙂🙂

Kweli. Tuombe majaliwa yake Mwenyezi Mungu. Itakuwa game nzuri kwa wapenda soka.

I always enjoy watching United vs. Arsenal than any other game as a United fan.
 
Siku kama hiyo huwa sitaki usumbufu wa aina yoyote ile ni mimi na TV kwa dakika 90 sitaki kukosa hata sekunde moja lol!!! Kwa hiyo huwa nahakikisha kila kitu kiko shwari kabla ya kuanza rasmi kuangalia game. Kuna njembas zina midadi ya kufa mtu ukiangalia nazo game yaani unaweza kuvunjika mbavu lol!!! hahahahah

Kweli. Tuombe majaliwa yake Mwenyezi Mungu. Itakuwa game nzuri kwa wapenda soka.

I always enjoy watching United vs. Arsenal than any other game as a United fan.
 
Sunderland kanyang'anywa tonge "mtomone" hakuna haja ya kuedit! Kwangu mm Arsenal 3-2Sunderland.
 
Nilishasema KILA TIMU INABEBWA leo ilikuwa zamu ya Arsenal na Manu
 
So,how many goddamn points do we have and the fckn position we are holding?
 
Ushindi ni ushindi, sehemu kama Sunderland huwa hazitabiriki, pointi hizi 3 ni muhimu, tatizo letu hatuna striker Giroud nae ndio kaumia, tusubiri ripoti Mungu ajaalie yasiwe majeraha ya muda mrefu. Mwendo mdundo.
 
Ozil yupo
 
Everton si wamecheza na crystal palace leo mchana?
Nilimwona Moyes na Jackson5 Fellaini uwanjani, au?

Ahaaaa Everton part 2 inacheza...Chelsick na mzee wa kelele Mourinho hawatoki....
 
Back
Top Bottom