Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga?
Naona Upo hapa kuomba njaa!
 
Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga?

giroud kufunga!
Alafu nenda kwenu
 
Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga?

Nzi hatuitaji Refa kutubeba wala mchezaji kupewa red
.Hii kiungo ya Gunners ni hatari..
Ozil kaleta ladha mpya kati pale.
 
Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga?

Kama kawa Giroud kufunga.
 
Ile siyo penati; beki aligusa mpira kabla. Lakini huo ndiyo mpira.....

Nafuta kauli hii. Baada ya kuangalia kwa mara ya pili, ile ilikuwa ni penati halali. Beki hakugusa mpira kabisa.
 
Back
Top Bottom