Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

SkySports reports that Ozil doesn't want a nove to Arsenal. He wants to move to Man United.
Nzi bana, hahaha....

Maneno haya unayasema kwa "uchungu" namna hii kwakuwa wewe Man United tu au mpenzi sana wa Ozil?
 
Last edited by a moderator:
David Ornstein, BBC SportOZIL TO ARSENAL"Arsenal have agreed a 50m euros deal with Real Madrid to sign Germany midfielder Mesut Ozil.
"The 24-year-old has agreed personal terms and will now undergo a medical.
"The medical will take place in Germany, where Ozil is on international duty."
 
  • GET INVOLVEDMatthew Harrison: Mesut Ozil is a very good signing, it's just he isn't the signing that Arsenal need. Defenders and defensive midfielders needed.
    James Lynch: I think Ozil will be a brilliant signing. One of the best attacking midfielders in world.
    Pasa Mustafa: Sounds like Ozil is on the brink of signing - very excited! Too early to get his name printed on my shirt?

kijana ozil kashafanyiwa medical check up na arsenal team of doctors; procedure zote nyingine zinafanyika nchini german na inatarajiwa kuwa ozil atakuwa unveiled masaa machache baadae as arsenal major singning....come on gunners!!!! i cant wait anymore....
 
Nzi bana, hahaha....

Maneno haya unayasema kwa "uchungu" namna hii kwakuwa wewe Man United tu au mpenzi sana wa Ozil?

Yale maneno yalikuwa siyo yangu, bali ndivyo media mbalimbali zilikuwa zikiripoti. Ingawa United wenyewe wamekataa kumtaka Ozil!! Taarifa nyingi sasa zinasema ameshafanya na kufaulu medical kwa ajili ya kujiunga na Arsenal. Ingawa bado haijawa official...
 
Wakuu habari za jioni.

Arsenal itatangaza kumsajili Mesut Ozil na Emiliano Viviano. Viviano tayari amepass medical na yupo London.

Ozil ambe yupo mjini Munich nchini Ujerumani yeye amefanikisha suala la medical na ataendelea kuwepo kambini na timu yake ya taifa ya Ujerumani.

Hata hivyo bado Arsenal inajaribu kuzungumza na Chelsea ambao wanataka paundi kama milioni 3 hivi ingawqa Arsenal wanasisitiza kuwapa milioni 3.5

Pia Huenda Angel Di Maria akagusiwa endapo Real Madrid watatoa go ahead.
 
article-2408697-1B95C364000005DC-628_636x433.jpg

On the brink .... ... ... ooops kijana keshaweka saini
makaratasi yote tayari yametinga FA
Mkataba wa miaka 5.

article-0-1B6EEE24000005DC-401_634x400.jpg

Emiliano Viviano katinga Emirates Stadium on a loan deal
Baadaye kama Gunners wataonaje watamchuka jumla.

BTW Ozil name was mentioned 1 million times on twitter more than 3 times that of Bale then wanoko wanashangaa kwa nini Gunners wanatisha! Watajijuu COYG.​
 
SkySports reports that Ozil doesn't want a nove to Arsenal. He wants to move to Man United.

Nzi umepona na kipigo cha losefools? Vipi mmesaini mchezaji gani? Vipi Cesc imekuwaje? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee

OOps
Mfarisayo upo chikukuona walllah! Usijali.
 
Karibu Emirates Emiliano Viviano na Mesuti Ozil.

Arsenal wamemuulizia Demba Ba na huenda wakarudi tena Real Madrid kujaribu kwa Di Maria.
 
Wakuu habari za jioni.

Arsenal itatangaza kumsajili Mesut Ozil na Emiliano Viviano. Viviano tayari amepass medical na yupo London.

Ozil ambae yupo mjini Munich nchini Ujerumani yeye amefanikisha suala la medical na ataendelea kuwepo kambini na timu yake ya taifa ya Ujerumani.

Gazidis na wawakilishi wa Ozil ndio wanamalizia paperwork na baadae wakimaliza Ozil atatangazwa rasmi.

Hata hivyo bado Arsenal inajaribu kuzungumza na Chelsea ambao wanataka paundi kama milioni 3 hivi ingawa Arsenal wanasisitiza kuwapa milioni 3.5

Pia Huenda Angel Di Maria akagusiwa endapo Real Madrid watatoa go ahead.
 
Wakuu habari za jioni.

Arsenal itatangaza kumsajili Mesut Ozil na Emiliano Viviano. Viviano tayari amepass medical na yupo London.

Ozil ambae yupo mjini Munich nchini Ujerumani yeye amefanikisha suala la medical na ataendelea kuwepo kambini na timu yake ya taifa ya Ujerumani.

Gazidis na wawakilishi wa Ozil ndio wanamalizia paperwork na baadae wakimaliza Ozil atatangazwa rasmi.

Hata hivyo bado Arsenal inajaribu kuzungumza na Chelsea ambao wanataka paundi kama milioni 3 hivi ingawa Arsenal wanasisitiza kuwapa milioni 3.5

Pia Huenda Angel Di Maria akagusiwa endapo Real Madrid watatoa go ahead.

Yah nimeiona http//www.goal.com
 
Wakuu,

Nyuma ya pazia hata mzee Stan Kroenke nae yumo katika kuhakikisha ushauri wa Wenger kuhusu kuimarisha timu unazingatiwa.
 
Ila kuna taarifa chelski (not surprised at all) eti wamekataa kumuuza Demba Ba!!! Wakina Peasant wana vituko aise...
 
Arsenal na Chelsea wamekubaliana kuhus Demba Ba kwamba aende Arsenal kwa mkopo lakini wanashindwa kukubaliana khusu ada ya uhamisho Chelsea wanataka milioni 3.5 na Arsenal wanazo milioni 3.5

Richard Law (mwakilishi wa Arsenal) ambae amebaki London ana kazi kwelikweli.
 
Kuiangalia Arsenal ya msimu huu itakuwa sawa na kunsikiliza Tundu lissu bungeni full burudani
 
Ila kuna taarifa chelski (not surprised at all) eti wamekataa kumuuza Demba Ba!!! Wakina Peasant wana vituko aise...

Wanafahamu kwamba Demba Ba akienda Arsenal ni moja ya advantage fulani hivi kwahio dela hilo limekufa na ndio wakaweka hiyo 3.5milioni ambayo ni gharama ya mkopo tu.
 
Wakuu Arsenal wanaangalia situation ya Wayne Rooney.

Wanaweza kuweka mezani kama milioni 25 hivi na inaweza kuwa dakika za mwisho za usajali ambapo kumebakia masaa mawili na ushei hivi.

NB

Man Utd bado wanadaiwa na Arsenal paundi milioni 14 lkati ya 24 ambazo zilikuwa ni ada ya Robin Van Persie ambazo zinalipwa kwa awamu, na kama watazungumza vizuri basi wanaweza kumalizana humohumo na kufanya ada ishuke kidogo.

Lakini kuna tatizo la mshahara na Rooney anangalia kwenye paundi 200,000 kwa wiki.
 
Kwa kweli AW anahitaji striker mwingine, ila mshahara wa WR na perks zake ni tatizo kidogo, ikiwezekana mbona bomba, ila tunavyomjua AW, wallet kwake kufunguka ni tatizo...jamaa ni mkaksi...

Ila ndio meneja wetu, kwa hiyo ata
 
Kila kitu kimekamilika "paperwork" na ni jezi gani atakuwa anatumia (inasemwa itakuwa jezi namba 11) na inasubiriwa taarifa rasmi kutoka Arsenal na hawatasema Mesut Ozil amesajiliwa kwa kiasi gani.

Wanapenda neno la "undesclosed fee".
 
Back
Top Bottom