Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimeiokota kuleeee ...kwa wapumbafu flani!!

"Ozil has failed his medical at Arsenal due to a dust-induced asthma attack after the being shown the trophy room" ....possibly


 
Teendele kusubiria kujua hatma ya Demba Ba na Dimaria kama inaweza kufanikiwa.

Demba Ba deal limekufa na Chelsea hawatamuuza Ba kwa Arsenal kwani wanazingatia kwamba wao ni wahasimu.

Angel Di Maria bado Carlo Anchelotti anamhitaji na ni Ozil tu ndie alisema kwamba anamweka available kwa uhamisho.

Halafu kama ulisikia kuhusu Juan Mata, Arsenal walijaribu kumuulizia lakini Chelsea wakakataa kwa sababu niliyoeleza hapo juu, hivyo usiku huu amewasilisha ombi la uhamisho baada ya PSG kuleta dau na Chelsea wanalifikiria.

Anyway tunachane na Chelsea tunamsubiri "midfield playmaker" Mesut Ozil.
 
Arsenal wamemaliza rasmi shughuli zote za usajili wa Mesut Ozil na atatangazwa rasmi hivi punde na kuwekwa kwenye tovuti ya Arsenal.

174599162-e1378152325288.jpg

Mesut Ozil

Ozil ambae ana umri wa miaka 24 amesajiliwa rasmi kutoka Real Madrid kwa gharama za paundi milioni 42.4 na amesaini mkataba wa miaka mitano na atakuwa akilipwa paundi za Uingereza 115,000 kwa wiki.

Ozil kwa asili ni Mturuki na wazazi wake wote ni wahamiaji wanaoishi nchini Ujerumani.

Katika maelezo yake kwenye ukurasa wake wa Facebook Ozil anasema, "Dear fans of Real Madrid. Thank you very much for three wonderful years with all of you. "My time at Real Madrid was unique and special for me".

"Sometimes things develop differently, than I would have expected them to a few days ago. Although I'm leaving Real Madrid, I wish you and the team the very best for the future."

"Now, I'm looking forward to my new club: THE GUNNERS!"

Nae Meneja Arsene Wenger anasema kwenye taarifa yake ya kumkaribisha Ozil- "We are extremely pleased to have signed Mesut Ozil. He is a great player, with proven quality at both club and international level. We have watched and admired him for some time as he has all the attributes I look for in an Arsenal player.

I have said throughout the summer that we have been working hard to bring in top quality players to this football club. This has involved many many people across the club and I have always had the full support of the club in making decisions on the football side.

Mesut is a top quality footballer who will be a fantastic addition to our talented squad. We are all looking forward to him joining up with us after his international matches with Germany and working with us as an Arsenal player."
 
Chelsea wametufanyia kauzibe na kukataa kumtoa Demba Ba.

Mkuu kuna development fulani hivi inaendelea na kama itazaa matunda basi deal linaweza kukamilika hata baada ya muda wa usajili kwisha ngoja nifuatilie.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tuombe Mungu Mkuu, Demba Ba kwa maoni yangu si mtu wa kukaa bench hasa ukitilia maanani jinsi alivyokuwa anaziona nyavu alivyokuwa NC. Deal kama litakamilika basi itakuwa poa sana kama atatua Arsenal.

Mkuu kuna development fulani hivi inaendelea na kama itazaa matunda basi deal linaweza kukamilika hata baada ya muda wa usajili kwisha ngoja nifuatilie.
 
Wakuu muda naona umekwisha na Arsene Wenger ana imani na Yaya Sanogo ambae atamsaidia Olivier Giroud.

Ila kama kuna lolote basi itakuwa ni Abel Hernandes.

Vinginevyo tusubiri January.

Hata hivyo tunawashukuru sana Stan Kroenke, Ian Gazidis na Richard Law pamoja na wanasheria na maskauti wote waliokuwa busy katika kipindi hiki kigumu. Pesa bado ipo na kama kunahitajika nyongeza ya wachezaji wawili watatu basi ni hapo baadae.

Karibu Mesut Ozil na ujisikie upo nyumbani na bila shaka wenzako Per Mertesacker na Lucas Podolski wamekupa brief yote ya namna kabumbu lilivyo kwenye kapeti la Emirates.

Karibu Mesut Ozil.
 
Nzi umepona na kipigo cha losefools? Vipi mmesaini mchezaji gani? Vipi Cesc imekuwaje? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee

OOps
Mfarisayo upo chikukuona walllah! Usijali.

.......hahaha, wamebugi stepu meeen,
Moyes hana mvuto wa kusajili nini duhh? Hawajampata hata Fellaini?
 
Tuombe Mungu Mkuu, Demba Ba kwa maoni yangu si mtu wa kukaa bench hasa ukitilia maanani jinsi alivyokuwa anaziona nyavu alivyokuwa NC. Deal kama litakamilika basi itakuwa poa sana kama atatua Arsenal.

Deal la Demba Ba lilitegemea na Nicklas Bendtner ambae alikwenda kuzungumza na Chrystal Palace lakini mazungumzo hayakuzaa matunda na ndio Ba alikuwa awe cover ya Bendtner.

Hivyo Bendtner amerudi Arsenal na ndio mchezaji pekee ambae ataendelea kusota benchi.
 
.......hahaha, wamebugi stepu meeen,
Moyes hana mvuto wa kusajili nini duhh? Hawajampata hata Fellaini?

Kuna tetesi Felaini katua Manu but sidhani kama anatufaa,hongera kwa Mr Bean kumsajili Ozil
 
Kuna tetesi Felaini katua Manu but sidhani kama anatufaa,hongera kwa Mr Bean kumsajili Ozil

Fellaini atawasaidia kwa kiasi fulani hasa kwenye set pieces kwenye lango la adui lakini akija kwenye back four yetu imekamilika na Per Mertesacker anamsubiri.

Halafu usajili wa Ozil ulikuwa "planned well in advanced".
 
ozil unakwenda huko...
mwanakwetu halahala, hiyo nyumba ya msela, haina vikombe wala bilauli.
Anakula kwa Mama Ntilie, anaoga choo cha kulipia stendi.
Kama huamini nenda kwenye kabati lake uone mavi ya Mende yalivyojaa.

We jishaue tu
 
Back
Top Bottom