Utakuwa umehama timu wewe grory hunter ... .. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Utakuwa umehama timu wewe grory hunter ... .. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ozil anaweza kutua lakini kwa maoni yangu hatumuhitaji huyu tulikuwa tunahitajia striker centre back na kipa.
Arsene Wenger has stepped up his pursuit of the German playmaker, who has fallen down the Bernabeu pecking order, and hopes to complete a spectacular deal on deadline day.
Arsenal in £40m talks with Real Madrid to sign Ozil - Goal.com
Mkuu sio kama nakufatilis ila jaribu kujenga taifa lako achana na hayo mamichezo kesho ni j3
Mkuu naona interests zetu zinafanana mno 🙂🙂 nami namuangalia TW hapa kabla nilikuwa namuangalia Nadal. Miaka ya nyuma nilikuwa camp Federer akaniboa nikahamia kwa Nadal ambaye siku hizi akicheza na yeyote yule nataka yeye ashinde. Kesho michapo miwili mizuri sana sitaki kukosa hata sekunde moja, ni mtihani mgumu sana kwa timu yetu. Kisha mchana kuna TW na tennis kutakuwa na Serena na Sloane mechi ambayo itakuwa na ushindani mkubwa sana (hopefully)
Mkuu sio kama nakufatilis ila jaribu kujenga taifa lako achana na hayo mamichezo kesho ni j3
Haikuhusu lolote kutaka kunipa ushauri sikujui hunijui...mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe....Watu wengine banaaa!!!! dah!!!!
ilikuwa iwe ozil na di maria lakini naona wataenda na hiyo ya ozil ambae atasaidia katikati kama namba 10 na walcott atakuwa akicheza kwenye wingi ya kushoto hadi podolski atakaporudi mwezi november.
Lakini inategemea na wenger anataka timu icheze vipi.
Ozil atatufaa ikiwa arsenal watamsajili.
atafaaa sana....karibu ozil
Sure sure,.... Ila ndo ivo tena ... Tumeshinda na Man Utd kalala....Sidharau Mkuu Questt lakini ngome ya timu yetu tunaijua na golikipa wetu mchecheto...hivyo tunaweza kabisa kubugizwa goli mbili au hata zaidi za haraka haraka na furaha yote ikapotea...