Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sidharau Mkuu Questt lakini ngome ya timu yetu tunaijua na golikipa wetu mchecheto...hivyo tunaweza kabisa kubugizwa goli mbili au hata zaidi za haraka haraka na furaha yote ikapotea...

Mkuu BAK usidharau kagoli kamoja.... Kama kakidumu huwa kanaleta RAHA sana.... Kama SPURS wangekuwa NGURUWE unajua ni watoto wangapi kwa GOLI moja??? HAHAHAHAHAHAAA... Lets enjoy the DAY kaka....
 
Last edited by a moderator:
Kinachotusumbua Arsenal sio ushindi kama huu tu bali ni consistance, utashangaa tumafungwa na stoke
 
Babu Fag alichelewa kuwahisha bahasha kule Anfield?
Tunajuwa Moye yupoyupo tu pale bado Babu anashughulika na bahasha
Kulikuwa hakuna dakika za nyongeza leo au Ref hakuangalia saa yake na wa kumkumbusha hakuwako benchi leo
Khe khe khe khe khe

Hongera Wacha1 naona leo Wenger ametoa bahasha kubwa. Pamoja na pochi la Spurs, bahasha la Wenger lilikuwa noma.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Mnakumbuka kwamba leo Arsenal imemaliza mchezo ikiwa na mabeki wanne wa pembeni ndani- yaani Gibbs, Monreal, Sagna na Jenkinson?

Pale nyuma palikuwa na mabeki mshahara Per Mertesacker, na Koscielny, wakicheza mbele ya kipa Szczesny.

Mshambuliaji wa pembeni alikuwa ni Theo Walcott ambae alitoka na akaingia Sagna.

Kiungo walibakia Flamini, Ramsey na Cazorla

Na mbele alibakia Giroud.
 
Well done game nzuri na vizuri tumepata clean sheet na tumecheza vizuri ila tatizo tunahitaji cover majeruhi ndio wanazidi na kesho ndio mwisho wa dirisha tunahitaji angalau wachezaji wawili, babu Wenger post-match interview ame-hint maybe kuna suprise inakuja, busy day tomorrow.
 
tunajaribu kuweka basi, vipi hukupenda?
Wakuu,

Mnakumbuka kwamba leo Arsenal imemaliza mchezo ikiwa na mabeki wanne wa pembeni ndani- yaani Gibbs, Monreal, Sagna na Jenkinson?

Pale nyuma palikuwa na mabeki mshahara Per Mertesacker, na Koscielny, wakicheza mbele ya kipa Szczesny.

Mshambuliaji wa pembeni alikuwa ni Theo Walcott ambae alitoka na akaingia Sagna.

Kiungo walibakia Flamini, Ramsey na Cazorla

Na mbele alibakia Giroud.
 
tunajaribu kuweka basi, vipi hukupenda?

Lol

Kuna jamaa mtani wangu wa Spurs alikuwa anashangaa hali hiyo.

Nikamwambai kuwa Arsene Wenger pia anafunza wachezaji wake kucheza nafasi zote.

Pia wakati mwingine Arsenal hawataki kuiga mtindo wa "time wasting" na timu pinzani huweza kurudisha magoli kirahisi, lakini leo watu wote walikuwa wanapiga kelele za "Kick Forward......!"
 
Babu Fag alichelewa kuwahisha bahasha kule Anfield?
Tunajuwa Moye yupoyupo tu pale bado Babu anashughulika na bahasha
Kulikuwa hakuna dakika za nyongeza leo au Ref hakuangalia saa yake na wa kumkumbusha hakuwako benchi leo

Tukutane Novemba 10 pale OT.
 
Kwa wale mlio oa kama mimi,je umewahi kwenda shopping na mkeo? manunuzi yake uliyaonaje?actually ni very rough yaani hawanaga malengo na matumizi yao.Anaondoka home kwa malengo ya kutumia 50000,anarudi na Vitu vya 98000...
hao ndo spurs,but nasi tutanunua japo kidogo.
 
Thanks Gunners.

Special Thanks zimwendee the big man Giroud. He was man of the Match today against £107+ million Spurs wasteful spending .

See you on Saturday, 14th Sept at the Stadium of Light.

Tutandelea kutoa doze ya kidonge kimoja na kuendelea kwa Sunderland.
 
article-2407101-1B9151B5000005DC-93_634x423.jpg

article-2407101-1B914CB1000005DC-48_634x423.jpg

Olivier Giroud scores and celebrates the opening goal
of the game at the Emirates

Hongera kwa all Gunners, tuliwaambia wapinzani EPL bado mbichi .... ....

Hivi wanoko waliochezea kichapo kule Loserfool bado wanawanga huku ..... . khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW Emirates was rocking today, vijana wamefanya kazi waliyotumwa na Giroud noma (You need to see that goal to appreciate his lethal powers) .... ..... .... .. ngoja tuwalize na pics chacha mambo siyo mabaya walianza kutuombea mabaya tangu CL lakini Prof alichema hatuna presha bring them on ... ..
 
article-2407101-1B912C33000005DC-307_634x423.jpg

Frustrating - Daniel Levy (left) and Franco Baldini have had fine summers
in the transfer market, but they couldn't influence on the pitch

Tajiri wa Totts kijasho chembamba kilimtoka .... ....... chezeya prof weye!
 
khekheekheeee naona leo prof kamaliza wiki end safii..
 
Back
Top Bottom