Onenge
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 221
- 159
CL group F: Arsenal, Marseille, Dortmund na Napoli ... ...... asiye na mwana aeleke jiwe COYG
Mwaka huu tutachukua hii kitu.
CL group F: Arsenal, Marseille, Dortmund na Napoli ... ...... asiye na mwana aeleke jiwe COYG
BBC Sporf ‏@BBCSporf4h
Arsenal's Champions League group stage fixtures:
Matchday 1
Olympique de Marseille v Arsenal
Wednesday 18th September 2013
Kick Off: 19.45 UK time
To be played at Stade Vélodrome, France Matchday 2
Arsenal v S.S.C. Napoli
Tuesday 1st October 2013
Kick Off: 19:45 UK time
To be played at Emirates Stadium Matchday 3
Arsenal v Borussia Dortmund
Tuesday 22nd October 2013
Kick Off: 19:45 UK time
To be played at Emirates StadiumMatchday 4
Borussia Dortmund v Arsenal
Wednesday 6th November 2013
Kick Off: 19:45 UK time
To be played at Signal Iduna Park, Germany Matchday 5
Arsenal v Olympique de Marseille
Tuesday 26th November 2013
Kick Off: 19:45 UK time
To be played at Emirates Stadium Matchday 6
S.S.C. Napoli v Arsenal
Wednesday 11th December 2013
Kick Off: 19:45 UK time
To be played at Stadio San Paolo, Italy
kitendo cha flamin kurudi kimewauma wengi saana
coyg
Some of you guys mna moyo sana. Mi nishafikia boiling point. Siwezi kuwaamini watu walioshindwa kufanya usajili wa maana ndani ya miezi mitatu iliyopita kuwa watasajili vizuri ndani ya siku mbili tatu. This is a make or break season for Wenger. Msimu huu na kikosi tulichonacho Wenger ni LAZIMA achukue kikombe/vikombe au atuachie timu yetu kwa kuwa ndicho alichosema kuwa we can challenge with or WITHOUT signings. Now show us what you can and bring trophies at Emirates or we are done. Huwezi kudanganya kila mtu siku zote. Hakuna mtu anaridhika kupigania top four for nearly 8 years wakati tuna uwezo wa kustrengthen timu na kuchallenge for titles.
Naona leo anacomfirm kuwa anaweza kumtumia Nicolas Bendtner. Angesema tu atamtumia sio anaweza. Hawa ndio 'top top players' aliokuwa anawaongelea miezi yote hii. Pamoja na Flamini na Sanogo. Safi.

Mwana afrika mimi hata sifikirii kuona kombe lolote kuja upande huu, kwani tushindwe miezi mitatu tuweze kwa siku tatu?
Cazidis anaharibu timu mbahili yeye na kundi lake
Mwisho wa yote hii timu yetu tusubiri mwisho wa siku
Dah!......Just wait for the bargain basement, that's what Arsenal are good at.
GUBU hilo jirani........Just wait, utasikia the Nutty Professor anawaambia "Nicolas Bendtner is like new signing"
Some of you guys mna moyo sana. Mi nishafikia boiling point. Siwezi kuwaamini watu walioshindwa kufanya usajili wa maana ndani ya miezi mitatu iliyopita kuwa watasajili vizuri ndani ya siku mbili tatu. This is a make or break season for Wenger. Msimu huu na kikosi tulichonacho Wenger ni LAZIMA achukue kikombe/vikombe au atuachie timu yetu kwa kuwa ndicho alichosema kuwa we can challenge with or WITHOUT signings. Now show us what you can and bring trophies at Emirates or we are done. Huwezi kudanganya kila mtu siku zote. Hakuna mtu anaridhika kupigania top four for nearly 8 years wakati tuna uwezo wa kustrengthen timu na kuchallenge for titles.
Naona leo anacomfirm kuwa anaweza kumtumia Nicolas Bendtner. Angesema tu atamtumia sio anaweza. Hawa ndio 'top top players' aliokuwa anawaongelea miezi yote hii. Pamoja na Flamini na Sanogo. Safi.
Wakuu mambo vipi.
Bantalanda, Rejao, Wacha, Kweli na wengine mbona kimya Arsenal kuna nini?
Kuna habari jioni hii kwamba Tottenhama huku wakifanya usajili wao wa wachezaji watatu leo, wakati huohuo wamezuia usajili wa Gareth Bale ucheleshwe kwa makusudi ili kuwazuia Arsenal wasimsajili Angel Di Maria ambae Arsenal walitaka wamsajili mapema wiki hii ili acheze Jumapili kwenye mechi ya Arsenal na Tottenham.
Bale amekwishakubali "terms" na Real Madrid na atatangazwa jumatatu baada ya mechi hiyo wa watani hao wa kaskazini mwa London.
Mwenyekiti wa Tottenham ambae ni mtaalam wa mbinu za usajili amemaliza masuala yote ya usajili wa Gareth Bale lakini amekubaliana na Real Madrid kwamba wakimruhusu Di maria azungumze na Arsenal mpaka mechi ya jumapili itakapochezwa.
Kumekuwa na taarifa mbalimbali kwamba kuna kampeni dhidi ya Wenger na Arsenal kuhakikisha kwamba hawapati wachezaji wa uhakika wanaowahitaji ambao watawaongezea nguvu katika timu mbayo ipo tayari kwenye ligi ya msimu huu.
Kuna baadhi ya vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vikisubiri kwa hamu Arsenal ipoteze mechi kati yake na Fulham na Arsenal wakashinda ile mechi tena kwa ushindi mnono. Baada ya mechi ile hata yule msemaovyo Ian Wright akawa baridi kwa kiasi kikubwa katika mahojiano yake na televisheni na redio mbalimbali.
Baada ya mechi na Aston Villa vyombo mbalimbali vya habari vikiongozwa na moja ya televisheni maarufu nchini Uingereza, kwa makusudi kabisa viliweka kampeni ya kumharibia Arsene Wenger utaratibu wake wa kuandaa timu kwa ajili ya mechi na Fenerbahce na Fulham lakini Arsenal wakashinda mechi hizo.
Hivyo tusubiri Wenger atafanya nini ndani ya masaa 72 yaliyobaki, lakini usajili wa Angel Di Maria, Karim Benzema na Mesut Ozil unatarajiwa kukamilishwa baada ya Gareth Bale kutangazwa kuwa mchezaji wa Real Madrid siku ya jumatatu.
Tottenham mpaka kufikia jioni ya Ijumaa wamesajili wachezaji saba ambao wamegharimu kiasi cha paundi milioni 109, na kama wamefanya walichokifanya Queens Park Rangers basi tunasubiri.