Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

This is pure arsenal... Very nice goal from PODOLSKI..... 2-0...
 
This PODOLSKI is so in form today... what a strike was that... 3-0
 
Wenger ndio hasajili tena hapo, hongereni lakini.!!!!
 
Huyu Kipa wetu ni hakuna kitu kabsaaa.... basi tu ndo AW hajataka kumchukua JC from QPR
 
Job well done. On a plus side a very solid team performance, individual excellent performance by Ramsey, Sagna and Carzola. On negative side is we need the cover at the back at least 2 defenders asap.
 
Huyu Kipa wetu ni hakuna kitu kabsaaa.... basi tu ndo AW hajataka kumchukua JC from QPR

Mkuu, tatizo la Szczesny ni kutokamata vizuri mpira pale anapojaribu kuudaka na matokeo yake ni kuuachia na mpira kuangukia kwa washambuliaji.

Hali hii inalazimisha Arsenal kutafuta kipa bora zaidi ili kumsaidia Cheza (jina lake Szczesny la utani)

Kipa yupo na atasajiliwa ikiwa mazungumzo yatakwenda vizuri.
 
Arsenal inazidi kuwanyamazisha tu. Sasa babu inabidi anunue DM.

Hiyo lazima na inafikiriwa kwamba kama Arsenal watarudi Newcastle wanaweza kufanya deal la kama 18m hivi Kwa Yohan Cabaye.

Leo tena Cabaye hajapangwa kucheza na anataka kucheza CL ukizingatia Arsenal nao wana uhakika wa kuitandika Fenerbahce Jumanne.

Wenger anamtaka Cayabe ili Ramsey ambae ame-improve sana kwa sasa, aende kati awe DM na nafikiri hilo sio wazo baya.

1377351234923_lc_galleryImage_LONDON_ENGLAND_AUGUST_24_.JPG

Kijana Aaron Ramsey mchezaji wa kiungo wa Wales na Arsenal.

Leo mchana huu alimtawala kabisa kijana mwingine wa Fulham Pajtim Kasami ambe amezaliwa nchini Macedonia lakini ana uraia wa Switzerland.
 
Wenger ndio hasajili tena hapo, hongereni lakini.!!!!

Vipi kwani mpunga wa arsenal unawahusu/ khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha Le prof afanye kazi yake .... ...... .... . Akisajili ni kwa sababu ameona umuhimu wa mchezaji msiwe kama magazeti ya udaku, ie wivu kwa lwenda mbele.


BTW Ungo wangu ulipata mushkeli wakati wa kurudi kutoka Turkey ambako tuliwaacha Furnabache solemba. wanoko wataendelea kuomboleza.
 
Vibonde wameona mwezi, I am eagerly waiting for the London derby.....go go go Fulham

Another i d i o t from the cowshed. Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



BTW nachikia wanoko wanachungulia tu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ndio wakome chezea Prof weye!
 
article-2400951-1B70782C000005DC-218_634x483.jpg




Classy - Arsenal didn't look at team in disarray
as they confidently swept Fulham aside



article-2400951-1B7079B0000005DC-436_634x330.jpg

Cool as you like Olivier Giroud was calm in front of goal
as he opened the scoring


article-2400951-1B70801C000005DC-981_634x301.jpg

Make that two: Lukas Podolski thrashes
in Arsenal's second before the break


article-2400951-1B709431000005DC-350_634x390.jpg

And another: The German international celebrates
with Giroud after adding a third


article-2400951-1B70904E000005DC-751_634x419.jpg

Theo Walcott was intelligent going forward .... ..



article-2400951-1B706DAE000005DC-644_634x438.jpg



Ramsey alikuwepo .... ..

 
lukas-podolski_2652517b.jpg


Next - baada ya kuwatoa kamasi Fenerbahce kwenye maporomoko
ya Bosphorus na kuwafundisha adabu Fulham kwenye kingo za Thames
chacha tinachubiri mtanange kabambe tena na Fenerbahce
nyumbani Emirates J4
 
Back
Top Bottom