Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

premier-league-lukas-podolski-arsenal-fulham_2992238.jpg



COYG .... ..... ....
 
love is blind.....

Inategemea na IQ yako. Prof ndiye aliyebadili culture ya mpira ambao ndo hivi sasa unawika, kila timu zinafuata nyayo za prof kuanzia anavyofanya mambo yake pale Colney hadi timu inapokuwa kwenye mpambano. Waulize Chelsick na timu nyingineza wamefanya nini kuiga mipango ya prof. Wacha kuwasikiliza hawa peas of ants waliotawaliwa na kugubikwa na chuki wivu udaku nk. au hawa supporters wa mashoga. Karibu Emirates uone vile tunavyotetemesha jiji la London kwa mipango kabambe. Hatushindi kwa mpunga wala kutetemesha marefa na kutoa rushwa, tunatandaza kitale. Chi uliona jinsi Chelsick walivyobebwa last game? Ilikuwa ni story kwenye kila chombo cha habari pale wingereza. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
a bit promising display today, bt still i'm not much confident with this team for the season long campaign
 
Lucas podoski ni mchezaji mwenye jina kubwa na hasa kwa jinsi anavyofanya vizuri akiwa na timu yake ya taifa ya Ujerumani kwani anazaidi ya caps 100, kabla hata ya RVP kutuacha wenger alikuwa tayari ameshakamilisha deal la podoski na kumpatia namba 9 (naamini kwa namba 9 ile wenger alikuwa naandaa mazingira ya podoski kuwa mshambuliaji pale Arsenal na si winga wa kushoto)

Kama mnakumbuka game yake ya kwanza Arsenal alicheza kama striker dhidi ya FC cologne wakati wa majira ya kiangazi mwaka jana..ila baadae hakufanya vizuri sana pale kati (nafikiri wenger anamuona kwenye training sessions kuliko sie mpaka ilipoamuliwa anunuliwe mshabuliaji mwingine ambae ni Olivier Giroud, podolski hucheza kama striker iwapo tu giroud hayupo au mgonjwa..karibu na mwisho mwa msimu uliopita kwa mfumo wetu wa 4-2-3-1 wenger alimtumia sana Cazorla kushoto na giroud katikati au akianza kushoto ujue mechi haimalizi lazima atatolewa mpaka akapata “kisifa” cha kuwa mchezaji aliyefanyiwa sub kuliko yeyote kwenye EPL kwa msimu wa 2012-2013

Akipata nafasi anapiga magoli mazuri sana ila nafasi yake klabuni naiona ndogo sana, sasa najiuliza TATIZO la podolski ni nini??? Mi naona podo sio mchezaji wa kaliba ya Arsenal yaani haendani na mchezo wetu au mpaka kocha apate ufumbuzi amchezeshe kwenye nafasi gani na mfumo upi..kama mshambuliaji anakosa (movements kwenye box) kitu ambacho naona wenger keshakiona, kwenye winga ya kushoto anapiga mapande mazuri ila hana dribbling abilities na speed ya kuwaacha mabeki haraka..kwa kweli hawezi kuwapita mabeki kirahisi..huu ndio ukweli

Kwenye winga ya kushoto kwa wachezaji tulionao na mfumo tunaocheza santi na Alex oxlade chamberlain wanamzidi dribbling abilities na pace japo cazorla nae akiwa winga huwa anaingia sana kupitia kati tofauti na theo upande wa kulia ambae anapitia kwenye chaki…

Tunajua Gervas gervinho keshaondoka na upande wa kushoto yupo oxlade chamberlain (ambae kaumia) inawezekana anatafutwa natural left winger nah ii haitakuwa habari nzuri kwa podolski..sasa scouts hawakuwa makini na weakness na strength za huyu mchezaji??? (najiuliza)

Cha kushangaza Zaidi ni kuwa hata ujerumani pia mfumo wao ni 4-2-3-1 sasa kule anafanya vizuri huku tatizo nini????

Ebu tujadilini wadau… Wacha 1 Viper MwafrikaHalisi Wandugu Masanja BAK Rejao Balantanda Oxlade-Chamberlain Richard

Kwanza nikusahihishe, Podolski alinunuliwa mapema, na Giroud alinunuliwa pia kabla pre season haijaanza. Sio kwa kuwa Wenger aliona Podolski hayuko fit pale kati.

Turudi kwenye mada. Kwa mtazamo wangu tunapocheza na Podolski, Walcott na Giroud timu inakuwa haina balance ndo maana Wenger mara nyingi hupenda kuweka midfielder iwe kushoto au kulia. Kumbuka kuna kipindi Ramsey alikuwa anacheza Left Wing au Right Wing. Hata Ukirudisha kumbukumbu ya timu za Wenger kina Fabregas, Hleb, Rosicky, Diaby, Wilshere ambao ni Central Midfielders ameshawachezesha kwenye winga ili kujaribu kuleta balance ya attack na defence kwenye timu na pia kiungo kisije kikazidiwa na timu pinzani. Podolski na Walcott (wamelalia upande wa strikers kuliko kuwa midfielders kama The Ox) huwa wana-drift sana kuja ndani katika jitihada za kuwa second striker hii mara nyingi inafanya tunaacha gaps ambazo full back wa timu pinzani wanaweza kutumia kutuumiza. Hii haimaanishi kuwa hawawezi kucheza pamoja lakini katika mechi ngumu.. tukiwa na Walcott na Podolski ambao sio wazuri sana katika possesion football timu inazidiwa kirahisi. Podolski is very effective, akiondoka tutakuwa tumepoteza gem. Conversion rate yake ni 37%, the best in the league. Ila tatizo ninaloona mimi ni hilo tu ambapo anakuwa victim kwa kuwa tunatafuta balance. Ni rahisi yeye kukaa nje kwa kuwa tuna midfielders ambao tayari ni wazuri kwenye left wing, Cazorla na Ox.
 
Good win by the team today. Now if only we could strengthen, we could actually do something this season.
 
article-2400951-1B70782C000005DC-218_634x483.jpg




Classy - Arsenal didn't look at team in disarray
as they confidently swept Fulham aside



article-2400951-1B7079B0000005DC-436_634x330.jpg

Cool as you like Olivier Giroud was calm in front of goal
as he opened the scoring


article-2400951-1B70801C000005DC-981_634x301.jpg

Make that two: Lukas Podolski thrashes
in Arsenal's second before the break


article-2400951-1B709431000005DC-350_634x390.jpg

And another: The German international celebrates
with Giroud after adding a third


article-2400951-1B70904E000005DC-751_634x419.jpg

Theo Walcott was intelligent going forward .... ..



article-2400951-1B706DAE000005DC-644_634x438.jpg



Ramsey alikuwepo .... ..


chacha hatumuondoi prof..
 
Thanks Gunner. Solid team performance and entertainment.

Kwa kadri timu inavyopata game ndivyo inavyoendelea kucheza vizuri.

Plus 2 goals today and 3 points in BPL table.

Pole pole tutaheshimiana tu.

See you on next match at Emirates.
 
Inategemea na IQ yako. Prof ndiye aliyebadili culture ya mpira ambao ndo hivi sasa unawika, kila timu zinafuata nyayo za prof kuanzia anavyofanya mambo yake pale Colney hadi timu inapokuwa kwenye mpambano. Waulize Chelsick na timu nyingineza wamefanya nini kuiga mipango ya prof. Wacha kuwasikiliza hawa peas of ants waliotawaliwa na kugubikwa na chuki wivu udaku nk. au hawa supporters wa mashoga. Karibu Emirates uone vile tunavyotetemesha jiji la London kwa mipango kabambe. Hatushindi kwa mpunga wala kutetemesha marefa na kutoa rushwa, tunatandaza kitale. Chi uliona jinsi Chelsick walivyobebwa last game? Ilikuwa ni story kwenye kila chombo cha habari pale wingereza. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

ur just obsessed with the man called arsene wenger.
 
Ni mpira tu, leo Man City kachezea kichapo, sijui pundits waliokuwa wanaisifia sana hiyo timu wiki iliyopita watasemaje!!! Kufungwa Arsenal mechi moja ilichukuliwa kama 'disaster'.
 
article-2402123-1B785425000005DC-497_634x423.jpg



Confident -
Prof Arsene Wenger has promised
not to disappoint regarding transfers


article-0-194FB826000005DC-603_634x423.jpg


Arsenal skipper Thomas Vermaelen
is back in light training after injury





article-0-1B6A6C66000005DC-135_634x423.jpg

Laurent Koscielny should be fit for the return leg of the CL play-off
against Fenerbahce, despite suffering from a head wound



article-0-1B78231B000005DC-918_634x423.jpg

The Arsenal team trained on Monday
ahead of their European fixture





article-2402123-1B7829C3000005DC-859_634x423.jpg

Jack Wilshere was rested for the match with Fulham


article-2402123-1B7841FC000005DC-890_634x423.jpg


In-form Olivier Giroud getting some advice from Prof Wenger





article-2402123-1B784829000005DC-627_634x423.jpg


Only signing of the summer so far, Yaya Sanogo, in action





article-2402123-1B7848A1000005DC-309_634x423.jpg

Lukas Podolski scored two goals on Saturday



BTW habari za Gunners zinawanyima wanoko usingizi .. .. .... ... ...


 
Yani ukiangalia mechi ya jana utaona ubingwa mwaka huu uko wazi kabisa. We should make sure we recruit at least one World Class player na wengine wawili au watatu kwa ajili ya depth if we want to win the league.
 
Back
Top Bottom