Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Vibonde wameona mwezi, I am eagerly waiting for the London derby.....go go go Fulham
 
In you we Trust

Sure with such statements, 'in Wenger we trust'

"Quality wise we do not need, but numbers wise we are short," Wenger continued.

"The transfer market really starts now, a lot of activity will happen between now and 2 September. We have 12 days. A lot will happen. It starts now."

Source:
http://www.bbc.co.uk/sport/0/football/23790314
 
Hivi mbona Gunners ni mabingwa wa kusajili kupitia magazeti? kwa nini hatustukizi watu kutuona tukiwatambulisha wachezaji wetu pale Imarati? Naona hili la Benzima na De Maria nalo ni usajiliwa kuuzia gazeti. Yangu Macho!!
 
Koscielny hatocheza mechi ya kesho sababu ya kadi nyekundu alopewa last game kwenye mechi na Aston Villa
 
Lucas podoski ni mchezaji mwenye jina kubwa na hasa kwa jinsi anavyofanya vizuri akiwa na timu yake ya taifa ya Ujerumani kwani anazaidi ya caps 100, kabla hata ya RVP kutuacha wenger alikuwa tayari ameshakamilisha deal la podoski na kumpatia namba 9 (naamini kwa namba 9 ile wenger alikuwa naandaa mazingira ya podoski kuwa mshambuliaji pale Arsenal na si winga wa kushoto)

Kama mnakumbuka game yake ya kwanza Arsenal alicheza kama striker dhidi ya FC cologne wakati wa majira ya kiangazi mwaka jana..ila baadae hakufanya vizuri sana pale kati (nafikiri wenger anamuona kwenye training sessions kuliko sie mpaka ilipoamuliwa anunuliwe mshabuliaji mwingine ambae ni Olivier Giroud, podolski hucheza kama striker iwapo tu giroud hayupo au mgonjwa..karibu na mwisho mwa msimu uliopita kwa mfumo wetu wa 4-2-3-1 wenger alimtumia sana Cazorla kushoto na giroud katikati au akianza kushoto ujue mechi haimalizi lazima atatolewa mpaka akapata "kisifa" cha kuwa mchezaji aliyefanyiwa sub kuliko yeyote kwenye EPL kwa msimu wa 2012-2013

Akipata nafasi anapiga magoli mazuri sana ila nafasi yake klabuni naiona ndogo sana, sasa najiuliza TATIZO la podolski ni nini??? Mi naona podo sio mchezaji wa kaliba ya Arsenal yaani haendani na mchezo wetu au mpaka kocha apate ufumbuzi amchezeshe kwenye nafasi gani na mfumo upi..kama mshambuliaji anakosa (movements kwenye box) kitu ambacho naona wenger keshakiona, kwenye winga ya kushoto anapiga mapande mazuri ila hana dribbling abilities na speed ya kuwaacha mabeki haraka..kwa kweli hawezi kuwapita mabeki kirahisi..huu ndio ukweli

Kwenye winga ya kushoto kwa wachezaji tulionao na mfumo tunaocheza santi na Alex oxlade chamberlain wanamzidi dribbling abilities na pace japo cazorla nae akiwa winga huwa anaingia sana kupitia kati tofauti na theo upande wa kulia ambae anapitia kwenye chaki…

Tunajua Gervas gervinho keshaondoka na upande wa kushoto yupo oxlade chamberlain (ambae kaumia) inawezekana anatafutwa natural left winger nah ii haitakuwa habari nzuri kwa podolski..sasa scouts hawakuwa makini na weakness na strength za huyu mchezaji??? (najiuliza)

Cha kushangaza Zaidi ni kuwa hata ujerumani pia mfumo wao ni 4-2-3-1 sasa kule anafanya vizuri huku tatizo nini????

Ebu tujadilini wadau… Wacha 1 Viper MwafrikaHalisi Wandugu Masanja BAK Rejao Balantanda Oxlade-Chamberlain Richard
 
Last edited by a moderator:
nimekusikia lakini naulizia vipi hali yake baada ya daluga la waturuki?

Mkuu, Koscielny yupo fit ila mwanzoni ilidhaniwa kwamba amepasuka sana lakini alipofanyiwa scan hospitalini akaambiwa kuwa ulikuwa ni mpasuko wa kwenye ngozi tu na akashonwa nyuzi 12 na alirudi kujiunga na wachezaji wenzake baada ya mchezo na Fenerbahce.

Hatocheza Jumamosi na Fulham na yupo 50-50 kucheza jumanne kwenye mrudiano na Fenerbahce.

Hata hivyo Mathews Flamini huenda akaridhia mkataba na Arsenal na kwa kuzingatia anaweza kucheza pia kama CB inakuwa ni wazo zuri kumsajili tena bila malipo.
 
Mkuu, Koscielny yupo fit ila mwanzoni ilidhaniwa kwamba amepasuka sana lakini alipofanyiwa scan hospitalini akaambiwa kuwa ulikuwa ni mpasuko wa kwenye ngozi tu na akashonwa nyuzi 12 na alirudi kujiunga na wachezaji wenzake baada ya mchezo na Fenerbahce.

Hatocheza Jumamosi na Fulham na yupo 50-50 kucheza jumanne kwenye mrudiano na Fenerbahce.

Hata hivyo Mathews Flamini huenda akaridhia mkataba na Arsenal na kwa kuzingatia anaweza kucheza pia kama CB inakuwa ni wazo zuri kumsajili tena bila malipo.[
koscilieny atakuepo kweny mech ya marudian siku ya jumanne(according to Wenger)
 
Ahsanteni Myne na Richard, kwa kweli huyu dogo anacheza kazi na alipoumia nilisikitika sana
Tuangalie kesho vipi tutahimili pambano na tukiwa majeruhi, naona kama Sagna atakuwa kati pale na huyu anaimudu kati
 
Mkuu Kashengo,

Suala la Lucas Podolski limekuwa gumu kwa kuzingatia kwamba linagonganisha mfumo wa uchezaji kati ya 4-3-3 na 4-3-2-1.

Mtindo wa 4-3-3 unafaa kama Oxlade Chamberlain anakuwa bench na Podolski kuanza kwenye first X1.

Lakini Wenger anakuwa anataka more creativity kwenye sehemu ya kiungo na ndio maana kwenye mechi na Aston Villa na Fenerbahce, Podolski hakuanza kucheza kwenye first X1 na akaanza na Oxlade Chamberlain pembeni na Giroud kuwa peke yake mbele akiwa na Santi Cazorla nyuma yake.

Pia kwenye mechi na Fenerbahce kwa kuwa Ox Chamberlain hakucheza kutokana na kuwa majeruhi, Cazorla akaanza kwenye first X1.

Kwahio inaonekana Wenger hupenda kutumia midfielders wengi kwenye mechi zenye utata na pia utaweza kuona starting X1 ingine jumanne ijayo.

Lakini kwa Podolski Wenger ameshindwa kumtumia kutokana na kuwepo Theo Walcott au Olivier Giroud ambae nae amekuwa hatabiriki kutokana na kutokuwa more sharp kule mbele.

Ila kwenye mechi na Fenerbahce kulikuwa hakuna mmaliziaji kutokea upende wa wingi ya kushoto kiasi cha hata kutokea Kieran Gibbs kufunga goli la kwanza ingawa ilipaswa lifungwe na winger wa kushoto ambae ilibidi awe Podolski maana Theo Walcott huwa anahamahama nafasi akibadilishana na Giroud.

Huenda akampeleka kucheza kwa loan kwenye timu ya Schalke ya Ujerumani ingawa Agent wake bwana Konn Schramm amekanusha kwani Podolski nae anataka kucheza world Cup mwakani.
 
Lucas podoski ni mchezaji mwenye jina kubwa na hasa kwa jinsi anavyofanya vizuri akiwa na timu yake ya taifa ya Ujerumani kwani anazaidi ya caps 100, kabla hata ya RVP kutuacha wenger alikuwa tayari ameshakamilisha deal la podoski na kumpatia namba 9 (naamini kwa namba 9 ile wenger alikuwa naandaa mazingira ya podoski kuwa mshambuliaji pale Arsenal na si winga wa kushoto)

Kama mnakumbuka game yake ya kwanza Arsenal alicheza kama striker dhidi ya FC cologne wakati wa majira ya kiangazi mwaka jana..ila baadae hakufanya vizuri sana pale kati (nafikiri wenger anamuona kwenye training sessions kuliko sie mpaka ilipoamuliwa anunuliwe mshabuliaji mwingine ambae ni Olivier Giroud, podolski hucheza kama striker iwapo tu giroud hayupo au mgonjwa..karibu na mwisho mwa msimu uliopita kwa mfumo wetu wa 4-2-3-1 wenger alimtumia sana Cazorla kushoto na giroud katikati au akianza kushoto ujue mechi haimalizi lazima atatolewa mpaka akapata "kisifa" cha kuwa mchezaji aliyefanyiwa sub kuliko yeyote kwenye EPL kwa msimu wa 2012-2013

Akipata nafasi anapiga magoli mazuri sana ila nafasi yake klabuni naiona ndogo sana, sasa najiuliza TATIZO la podolski ni nini??? Mi naona podo sio mchezaji wa kaliba ya Arsenal yaani haendani na mchezo wetu au mpaka kocha apate ufumbuzi amchezeshe kwenye nafasi gani na mfumo upi..kama mshambuliaji anakosa (movements kwenye box) kitu ambacho naona wenger keshakiona, kwenye winga ya kushoto anapiga mapande mazuri ila hana dribbling abilities na speed ya kuwaacha mabeki haraka..kwa kweli hawezi kuwapita mabeki kirahisi..huu ndio ukweli

Kwenye winga ya kushoto kwa wachezaji tulionao na mfumo tunaocheza santi na Alex oxlade chamberlain wanamzidi dribbling abilities na pace japo cazorla nae akiwa winga huwa anaingia sana kupitia kati tofauti na theo upande wa kulia ambae anapitia kwenye chaki…

Tunajua Gervas gervinho keshaondoka na upande wa kushoto yupo oxlade chamberlain (ambae kaumia) inawezekana anatafutwa natural left winger nah ii haitakuwa habari nzuri kwa podolski..sasa scouts hawakuwa makini na weakness na strength za huyu mchezaji??? (najiuliza)

Cha kushangaza Zaidi ni kuwa hata ujerumani pia mfumo wao ni 4-2-3-1 sasa kule anafanya vizuri huku tatizo nini????

Ebu tujadilini wadau… Wacha 1 Viper MwafrikaHalisi Wandugu Masanja BAK Rejao Balantanda Oxlade-Chamberlain Richard

Sio roketi sayansi. Tofauti ni kwamba akiwa na timu ya Ujerumani amezungukwa na best players, wakati Arsenal amezungukwa na average players.
 
Last edited by a moderator:
Sio roketi sayansi. Tofauti ni kwamba akiwa na timu ya Ujerumani amezungukwa na best players, wakati Arsenal amezungukwa na average players.
Peasant hapo umechemka kabisa huyu huyu podolski alinunuliwa Bayern Munchen kutoka FC cologne kwa mbwembwe nyingi ila alishindwa kung'aa na mwisho wa siku alipelekwa kwa mkopo huko walikomtoa mpaka baadae akanunuliwa tena na haho hao FC cologne, na ukumbuke vilabu vikubwa vya ujerumani vilikuwa vyamuaona....kuna jambo analo Podolski sio "FIGHTER, hawezi ku beat opponent wake, hana dribbling skills" ndio manaa ujerumani hapangwi kama mshambuliaji..baasi ila ni good squad player...sasa ukitaka ujue hilo podolski apangwe na tough opponent siku hiyo haonekani kabisaa, kule ujerumani kwa sasa ujio wa marco reus umempotezea number yake na nahisi anafanya vizuri kule kwa sababu anapata bahati ya rebounds amabzo ni mzuri kweli kweli kuzitumia ila tofauti na hapo namsikitikia sana..kuna wakati mpaka mmoja katika benchi la ufundi german National team oliver bieolff alisema podolski ni mvivu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kashengo,

Kwahio inaonekana Wenger hupenda kutumia midfielders wengi kwenye mechi zenye utata na pia utaweza kuona starting X1 ingine jumanne ijayo.

Lakini kwa Podolski Wenger ameshindwa kumtumia kutokana na kuwepo Theo Walcott au Olivier Giroud ambae nae amekuwa hatabiriki kutokana na kutokuwa more sharp kule mbele.

kwa kifupi ni kuwa timu yetu ikicheza na weak opponents podolski anatufaa sana ila kama game tough ambayo inahitaji creativity na work rate kubwa kwenye kukaba ili ku regain possesion podolski bora aanzie benchi maana haonekanagi uwanjani..unless he changes his game au hata aimprove work rate yake..lakini mwisho wa siku tunamwitaji sana kwa issue ya squad rotation na depth maana ligi ni ndefu kweli kweli
 
PSG nao wametumbukia kwa benzema wenger endeleza kazi nzuri ya kuonesha wenzako wanachukua
 
kesho sitopata nafasi ya kuangalia mtanange kazi ya dharura imenitokezea
Mungu atujaaliye tushinde kesho tupunguze kelele humu ndani, watu wamejaa tele sijui wanakimbia nini huko makwao
 
Back
Top Bottom