Tunajua ila mpira dakika 90, bado haujaisha.Sunderland 1 Arsenal 0
Sawasawa Arshavin, Gallas na Sagna wote wanaonekana wamechoka Eduardo hakuwa na impact yoyote, Nasri nae bado hajarudi katika form, nilishangaa kwa nini Eboue hajapangwa kucheza kabisa?nilijua tu leo pagumu.
Poleni sana,
Pole mkuu ila ndio safari, tuvumilie tu, pengo la RVP linaonekana waziwazi kabisa. Bora hizi wiki 6 na zipite haraka.Kichwa kinauma, ngoja nikalale
traore kapiga game vizuri sana leo mkuu.kamchagua traore zaidi ya silvestre kwa ajili ya speed.silvestre angechemsha leo asingeweza kumudu kasi ya sunderland.tulipoaribu pale kati watoto mayai wanadondoka sana wakipigwa push kidogo.sunderland wanacheza mpira wa nguvu pale kati na wanauwezo wa kushambulia.afadhali denilson karudi atakuja kumsaidia song pale kati.Kwanini AW amemchagua Traore dhidi ya Silverstre? nani alitakiwa kumkaba Fraiser Campbell? Traore bado hana uzoefu.
Jamani naombeni matokeo mgao wa umeme umenitenda!
Sunderland 1 na hawa jamaa wa hapa 0
Chelsea 4 na wolves 0
Usijali placenta litafanya mambo, mechi ya Chelsea atacheza!Pole mkuu ila ndio safari, tuvumilie tu, pengo la RVP linaonekana waziwazi kabisa. Bora hizi wiki 6 na zipite haraka.