Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Usanii huo kaka!
Mkuu,
Unajua inauma sana pale unapofungwa ugenini tena na timu ya Sunderland.
Mimi huwa mechi kama hizi napenda kuona mwenyewe pale uwanjani.
Nakiri kuwa Arsenal wanahitaji "steel" na "inspirational leader" pale katikati. Ni mtu wa aina ya Patrick Vieira ndie atakaewasaidia.
Kuna wakti sikuwaona kabisa Samir Nasri na Eduardo kwa vile walikuwa wametimwa mifukoni kabisa na mabeki mahili wa Sunderland.
Lakini pia international break nayo imewapumbaza sana wachezaji na hata Andrey Asharvin alikuwa bado yupo upset na kutolewa kwa Russia kwenda South Africa.
All in all kipimo cha Arsenal ni jumamosi ijayo na kipimo cha Chelsea ni mwezi January mwakani.
lol