Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Kulikuakuaje leo mzee????
Hapa leo naona pako kimya sana.
Wameingia mitini.
AW Traore amecheza vizuri ila amefanya makosa mara kadhaa, ni uzoefu mdogo. Kama tungalicheza na Chelsea basi tungeumia vibaya sana, marking na position(kujipanga) yake ni mbovu, goli tumefungwa kwa vile Campbell alikuwa free (angeweza hata kufunga mwenyewe) licha ya kumpasia Bent, Traore alipaswa amkabe.traore kapiga game vizuri sana leo mkuu.kamchagua traore zaidi ya silvestre kwa ajili ya speed.silvestre angechemsha leo asingeweza kumudu kasi ya sunderland.tulipoaribu pale kati watoto mayai wanadondoka sana wakipigwa push kidogo.sunderland wanacheza mpira wa nguvu pale kati na wanauwezo wa kushambulia.afadhali denilson karudi atakuja kumsaidia song pale kati.
na tumepoteza chance chache za wazi tulizopata.kuweka ramsey,nasri,rosicky pale kati noma bora ya eboue ana nguvu.
ni kweli kwenye mechi ya chelsea i will prefer silvestre even over gibbs.gibbs game kubwa nae ana presha sana si unakumbuka champions league tulivyo cheza na man united kaenda kuteleza bila sababu? watoto wote wawili hawa gibbs na traore wana more attacking mind kushinda defending mipigo ya kina glen johnson.watakua na kujirekebisha makosa yao.the midfield cost us the game i think.AW Traore amecheza vizuri ila amefanya makosa mara kadhaa, ni uzoefu mdogo. Kama tungalicheza na Chelsea basi tungeumia vibaya sana, marking na position(kujipanga) yake ni mbovu, goli tumefungwa kwa vile Campbell alikuwa free (angeweza hata kufunga mwenyewe) licha ya kumpasia Bent, Traore alipaswa amkabe.
Pia kipindi cha kwanza alikuwa akimpoteza Steve Malbranque mara kwa mara, Malbranque alikosa nafasi za wazi mbili akiwa peke yake? (alipaisha mashuti) wapi alikuwa Traore? Unajiuliza jee kama Anelka ama Lampard wanapata nafasi za chee kama hizi alizopata huyu Malbranque sijui itakuwaje.
i hope hatutakaa mda mrefu hospital na kuruhusiwa mapema sio kama nyinyi ha ha ha.jamani Arses, karibuni kwenye ile wodi ya majeruhi (casualty) - sie wenzenu liverpool tuko huku wiki ya kumi aisee, sijui tutatoka lini...afadhali nyie wiki moja tu!!!
watu wa ajabu kweli.wanasema tumekimbia wakati wanaona kabisa comments zetu baada ya game sasa mlitaka tuwasubiri tu humu mpaka mpate mda wa kuweka comments zenu?
ha ha ha tushapoa mkuu.wale watoto noma sana na nilikua nina wasi wasi na game hile sana.wanacheza kwa kujituma sana sunderland na itawasaidia msimu huu.Yakhe hasira za nini tena? hehehe pole kwanza kwa kichapo, hao Red Cats walitaka kututoa nishai nyumbani wabishi kama washabiki wa Yanga. Kuna watu kama Mbu, Richard, BAK, Next Level wamekuwa MIA ndio ninao wazungumzia hao.
sagna kazidisha kubamiza mpira kwa mabeki wa sunderland.
Yakhe hasira za nini tena? hehehe pole kwanza kwa kichapo, hao Red Cats walitaka kututoa nishai nyumbani wabishi kama washabiki wa Yanga. Kuna watu kama Mbu, Richard, BAK, Next Level wamekuwa MIA ndio ninao wazungumzia hao.
Ha!hahahahahaaaa.....Eglypz.......wengine tulikuwa vekesheni mazee.......don't worry, tukiwa na harusi....vigelegele kama kawa.....msiba....lazima tuweke matanga.......! leo kwangu kesho kwako, sio?
Tik tik tak tik tak tik Nov 29 Emirates
Welcome on board.......ha!ha!haaaaaa.....mbogo kachubuliwa na risasi.......! guess what happens on the next encounter.......!
Another bullet in the head teh teh teh teh
Ngoja kwanza Arsenal ishinde au ipate sare tu kesho halafu tujiandae na Chelsea maana tukiwafunga Chelsea jumamosi basi...