Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Poleni niliwapa matokeo ya Sheikh yahya kwamba mtashinda 3-1 ila Kumbe Sheikh kafariki hehehehe ila refa wabovu Hawafai Kabisa ndomana nasema FA Hawafai Kuwa na Nguvu ya marefa.
 

ni kweli wenger yuko active kwenye transfer market.... but not productive:bored:
 
Wenger .., afanye usajili no excuse hapa tulikuwa average sana
 
Nzi usinitanie, leo nina hasira kweli tokea asubuhi sikutoka kabisa leo nilisema nisubiri usiku nitoke lakini hakutokeki kuna BENTEKE na Wenger sijui nani nitakutana nae mwanzo wote nina hasira nao
 
WENGER out! Huyu mzee falsafa yake imepitwa na wakati, tatizo anaimani yeye bado ni smart sana ingawa anafeli mwaka hadi mwaka hataki kusikiliza wapenzi na bodi wanafurahia faida tu
.
 
leo hamunioni mpaka kesho au Manu wafungwe ndio nitatoka huku mafichoni vyenginevyo tutaonana Jumatatu hata kesho sitoki humu ndani
 
........shame, pheeewww!
Haya, bdae kidogo wakuu
🙁
 
WENGER out! Huyu mzee falsafa yake imepitwa na wakati, tatizo anaimani yeye bado ni smart sana ingawa anafeli mwaka hadi mwaka hataki kusikiliza wapenzi na bodi wanafurahia faida tu
.

Mpe hi WACHA huko mafichoni
 
Wenger .., afanye usajili no excuse hapa tulikuwa average sana

Mimi ninazidi ku-confirm kuwa Wenger hajui kusajili..wachezaji karibu wote wazuri tuliowahi kusajili walisajiliwa na George Graham...vieira, overmas, bergkamp, petit, seaman, anelka, keown, winterburn, adams, lee dixon,...

Wenger alisajili nani?..Pascal Cygan, Giles Grimandi, Diaby, Jekinson, Francis jeffers..yani mediocre watupu!!
 



Neat finish - Arsenal's Olivier Giroud, left, opens the scoring



Sharp shooter - Giroud celebrates his goal





Arsenal's Wojciech Szczesny keeps out Benteke's penalty...






... but Benteke heads home the rebound






Bloodied Arsenal's Kieran Gibbs lies on the floor with a cut head
after a clash of heads with Villa's Andreas Weimann







Gibbs is escorted off the pitch with a head injury







Villa's Ron Vlaar, second right, clears the ball



BTW EPL ndio kwanza inaanza Kosc ana mkosi au ni huyu Tailor ambaye kila msimu anampa red card - it wasn't a penalty. Wanoko pamoja na English media haters wamepata cha kuandika. Kujikwaa sio kuanguka. Ni timu chache zinazoweza kushinda baada ya kupewa penalty mbili.


 

Believe it or not,
If we are to win anything, we have to be one of those 'timu chache'
I am saying this having been a dedicated gunners supporter for 16 years.
What is going on at the club right now is shear MEDIOCRITY.,.it deserves no one's support.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…