Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ooohoooooo...basi tena Arsenal kwisha kazi........duuuhh
 
Haya Chacha.... Nachukia huku Nafurahi.... MAY BE ATASAJILI... ***** zake AW....
 
I hope mzee Wenger anainjoi sana, wacha aendelee kulalia pesa. Villa nao wakutufunga 3 nyumbani?
 
Yani nimefurahi sana,
Babu amenikera sana na kujifanya kwa miaka 8 kuwa yuko smart zaidi yetu mashabiki..hasikiiiii...
nna hamu sana ya kumsikiliza atakachosema kwenye post-match interview...M.oron kabisa!!!
 
Mpaka sasa mnanyanyaswa na Villa tena nyumbani kwenu (1- 3), kulikoni? Yaani mnapigwa bao na Villa? Ohoooo, angalieni msije kuwa kama Liverfools, miaka karibia 30 bila ubingwa, kazi kelele tu bila utekelezaji kama watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…