Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal leo watakuwa juu ya Ligi game inaisha Arsenal 3 aston 1 pengine, kama sio 5 then wenger akasema sihitaji Striker wala mchezaji wowote ndio Wacha1 atapommeza sababu Wacha nasikia kapeleka CV! Ya kazi kwa Wenger awe Scout wao.
 
Wacha1 naona bahasha la Wenga leo ni zito. Golipika wenu alipaswa kupewa nyekundu, kwani alikuwa mtu wa mwisho....khe khe khe khe khe..
 
Last edited by a moderator:
Hawa mabeki wenu wanastahili bakora,wanampa mzigo golikipa
 
Wacha1 bahasha inafanyika kazi leo; Chambanini naye kanusurika na kupewa kadi ya njano!!
 
Last edited by a moderator:
Tumeshajizoelea kuangalia timu yetu mwanzo mwisho hakuna ku-relax, yaani hawa Villa mpaka mda huu ilikuwa tushawapa 3 na ku-relax kidogo lakini waapi?
 
Huyu AW asipofanya Usajili sijui hii team msimu huu itakuaje tuu..... Leo nimesoma tetesi kuwa kamvaa miguu miwili WAYNE ROONEY.... Bado katikati pabovu na beki ya kushoto ndo hivyo tena..... ALL IN ALL AM GOONER FOR LIFE..
 
Huyu Rosicky ndo kukosa gani kule.... Yeye na kipa anapiga utumbo...
 
Mkuu Questt usisumbuke huyu AW anacheza na akili zetu anajifanya anataka kusaini big name mwisho wa siku hakuna lolote atasaini wachezaji wa kifaransa akina Senogo. Na huyu Rosicky yeye na goli anakosa?
 
Back
Top Bottom