Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Asante mkuu....Arsenal 3 - 0 Man city
...... ... goli linakataliwa hapa na kibendera offside .... ..
Nilitaka Ndetichia anijibu maana tangu jana ameanza kutukana mamba kabla hajavuka mto....
Asante mkuu....Arsenal 3 - 0 Man city
...... ... goli linakataliwa hapa na kibendera offside .... ..
Asante mkuu....
Nilitaka Ndetichia anijibu maana tangu jana ameanza kutukana mamba kabla hajavuka mto....
Mkuu kuna watoto watatu wajerumani wenye vipaji vya hali ya juu ambao endapo hawatauzwa wataifanya Arsenal ing'are siku za mbeleni....Gnabry, Zelalem na Oisfeld....Gedion Zelalem anaingia Ox anapumnzishwa ...... ...... ... .
ooops nachikia wanoko wanaulizana who are these Gedion and Perez khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
watajijuu
GIDEON ZALALEM is Fabregas and Xavi and Iniesta rolled in one, dogo ni new Zidane uwezo wake wa mapishi balaa kama akina Stoke hawatovunja mguu dogo ata-shine sana. Very excited with new season.
GIDEON ZALALEM is Fabregas and Xavi and Iniesta rolled in one, dogo ni new Zidane uwezo wake wa mapishi balaa kama akina Stoke hawatovunja mguu dogo ata-shine sana. Very excited with new season.
Kwa kusifia hivyo vitoto vyenu hamjambo, ila elewa kuwa Xavi atabaki kuwa kuwa Xavi tu the same as Iniesta. Zidane huo ulikuwa mtambo mwingine katika wachezaji waliokuwa bora duniani ukiwarank Zidane yupo nafasi za juu sana huwezi mlinganisha hata na Ronaldo.
........mmetulia kidogo?
Kelele mingi sana nyie wapiga bodi humu.....
Nxt Moyes nae tutampa ukaribisho kazini!!!!!
COYG, together we stand !!!!!
Mfarisayo kila kitu kina zama zake walikuwepo akina Pele, Cruyff, Platini, Eusobio wakaja akina Maradona, Gullit, Weah na tukashuhudia generation ya akina Zidane na Ronaldo na kufuatia akina Messi na Xavi so mkuu naelewa Xavi atabaki Xavi na Zidane atabaki Zidane lakini mark my word.....Kwa kijana wa miaka 16 huyu kijana ana exceptional footballing brain way ahead of his age....hebu basi muangalie kwanza mkuu hata youtube utakubali kwamba huyu ni special talent. Give credit where the credit due mkuu.Kwa kusifia hivyo vitoto vyenu hamjambo, ila elewa kuwa Xavi atabaki kuwa kuwa Xavi tu the same as Iniesta. Zidane huo ulikuwa mtambo mwingine katika wachezaji waliokuwa bora duniani ukiwarank Zidane yupo nafasi za juu sana huwezi mlinganisha hata na Ronaldo.
Cannibal Luis Suarez hawezi kutua Emirates tajiri wa loser fools ameapa hatamuuza anataka aoze pale kwao. Si kitu prof atatafuta kifaa kingine. Ati alisema what do they smoke at the Emirates .... ...
Loser fools wapinzani wao wakubwa chacha hivi ni Stoke, Everton, New Castle na Totts chacha wakimwondoa Sure boy watashuka daraja.
Hakuna kosa lolote hapo Cannibal Luis Suarez alikuwa available kuuzwa, na yeye mwenyewe kusema anataka kucheza CL, tatizo la loser fools ni kwamba Cannibal Suarez is bigger than loser fools period!
Ati Rogers anachema awe royal kwa Club yake .... ... mbona yeye alisepa kule timu alikotoka? Je, alizaliwa loser fools? He's a kind of an idiot!
![]()
Cannibal Luis Suarez trains alone .... ....
21st century bado kuna wanoko wanafikiria mambo ya kubaniana. Cannibal Luis Suarez anataka kucheza CL loser fools wanacheza kwenye Europa
.... .. ooops nachikia hata huko hawapo ... .. Dah! Poleni chana ndio mambo ya historia hayo walikuwepo kina Carl Peters etc
Man city walimkatalia TEVEZ asiondoke ila kwa miezi minne alikuwa anacheza gofu Argentina huko na mpunga unaingia kwenye akaunti yake kila wiki...unachokiona Liverpool na manure kwa issue ya sure boy na Rooney ni kuwa hawa wachezaji ni BIGGER than vilabu vyao...wako afraid wakiondoka itakuwaje...Not at arsenal hayo maujinga "you mess up you are gone"