Hebu ngoja kidogo mkuu...hapo ni kweli Gazidis alisema uongo ila kwa akili ya kawaida huwezi kwenda kushindania Premier league bila makipa 3 wazuri na sasa tunao wawili ambao ni competitive...I guess watarudi kwa julio Cesar maana hana timu unayomuitaji sasa na Agent wake alishasema "Arsenal is only remained option" shida ni kuwa ameambiwa apunguze personal demands zake na QPR hawana uwezo wa kuendelee na wachezaji wa aina ya Cesar maana wana mishahara mikubwa na jamaa mwakani World cup anataka awe kikosi cha kwanza BRAZIL na huwezi kuwa kipa no moja Brazil ukipambana na Milwall,doncaster utd,Preston, Leeds etc kila wiki
Ishu nyingine Tumeondoa under-performers wengi sana ku free up wage bill naamini tutafanya Quick deals kwa wachezaji watatu...akiwemo beki wa kati maana Djoruo japo ni mchezaji wetu ndio keshaenda humburg kwa mkop na Squillaci hayupo tena...we need a defender for pairing Thomas vermaelen na atakuja...let's be patient wenger ananunua wachezaji kwa style ya aina yake mwenyewe
kuna jambo flani wengi tunalisahau hapa tulicheza mechi 10 baada ya feb 2013 baada 2-1 defeat pale white Harte lane katika kiwango cha juu sana na tuliona timu ili gain momentum ya kutosha kwa mechi zile tulidraw na man utd na Everton..hapa naongelea kama Wenger aki capitalise kwenye stability ya mwisho wa msimu na akaongeza few players tutafanya vizuri
Mi mtazamo wangu though fans tuko frustrated na delays za transfer kuna balaa flani kwenye Soko siku hizi wachezaji wanauzwa kwa bei ambayo ni INFLATED hata x2 hadi x3 na Wenger ni mtu anaependa ku bargain na kununua at "right value" sasa soko likielekea mwishoni kuna uwezekano mkubwa kukawa na ''SUPRIZE" buy kwani hata issue ya Suarez naiona kama ni smoke screen
kuna wachezaji Arsenal wamenunuliwa past two seasons mwishoni mwa dilisha Mfano.Santi mwaka jana alinunuliwa August 5 na Giloud August vilevile na akina Per,Arteta,Babtista,Arshavin na wengine walinunuliwa last day sasa tusubiri hiyo siku ikishapita tutajua kama kweli ni mbivu au Mbichi
Mi naamini atanunua na wengi sana hapa kundini "haters" wanafurahia sana wenger asinunue tuendelee kusuasua ila i believe timu nzuri inajengwa kuanzia kwenye stability ya kikosi "tushukuru hatujavurugiwa kikosi" this time arround