Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,261
- 1,253
Tumemkosa Bernard ambae mimi niliamini nimbadala wa Gervihno,
Bado ninaimani kuwa mpaka jumatatu saa sita usiku tutakuwa tumempata Suarez na jina lake litawasilisha UEFA
Daah! Binafsi usajili wa Arsene Wenger huwa nauamin pale ninapoona mchezaji anatambulishwa rasmi na kukabidhiwa Jezi, lakini zile taarifa sijui anafanyiwa vipimo au sijui wanakubaliana kuhusu mshahara huwa siziamini kabisa.