Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
Mkuu hao jamaa dawa yao ni kuwapiuza tu..Hauna haja ya kujibizana nao...
Mi huwa nashindwa kuwaelewa Peasant na wenzake....Timu zao zina thread hawachangii lakini kutwa kucha wako hapa kutoa maneno ya dhihaka na wakati mwingine 'matusi' dhidi ya mashabiki wa Arsenal......Kuna wengine humu naona siku zao haziendi bila kutoa dhihaka dhidi ya Arsenal na mashabiki wake.....Inasikitisha na kukera sana....
Ustaarabu hakuna kabisa....Watuache mashabiki wa Arsenal na si kutusakama kipuuzi maana kila mtu ana uhuru wa kushabikia timu anayotaka...
Why Always Arsenal?.....
Jamani wakuu,hadi sasa sijamuelewa Wenger manake kapewa pesa mezani tena yakutosha, hadi leo sijaona usajili. Au anasubiri tupigwe mechi tano za mwanzo ndo asajili? Huyu mzee siyo siri ataniua kwa presha!!!!!
Yaani watuache kabisaa
yaaan naipenda arsenal mpaka natamani kungekua na mpesa au tigo pesa hata 250 yangu niwatumie ili tu mchango wangu wauone
Ila babu mbona hafanyi makeke au anataka kutusuprise mwisho wa usajili
Kutokana na historia ya AW katika usajili wa miaka ya hivi karibuni, mie niliandika hapa kama sikosei May 2013, kwamba katika usajili wa 2013/2014 tusitegemee jipya itakuwa ni usanii ule ule wa miaka karibuni wa kusajili magarasa. Naona kauli yangu imetimia. AW ni janga la Gunners.
Chakushangaza wenger amesema he still have a strong team to win trophies without any signing
Haya banaa Wacha1, mie nasubiri vipigo vya kila week na kushinda kibahati bahati hata na timu ambazo hazistahili kabisa kututoa jasho.
EPL yetu mwaka huu njoo May kusheherekea.
Haya tujipe moyo lakini ukweli tunaujua. 🙂...IMO it`s another season to compete for a fourth place.
Mkuu sio kujipa moyo, angalia mechi kumi za mwisho za EPL mwaka jana, Giroud, Pod ndio walikuwa wapya na hawajazoea mikiki mikiki ya EPL Judas ndio alisepa, mwaka huu ikiwezekana tunaongeza tu wachezaji machachari. Giroud akifunga 30+ goals na Huyu Sure boy kama akitinga mpe 30 goals then yupo Theo na Ox pamoja na Jack patamu hapo usisikie majina EPL ni another monster ..... ... you will tell me.
EPL yetu mwaka huu njoo May kusheherekea.
Vipi matoeo ya Uchunguzi wa Afya ya Huguain yakoje? Kamuda kamepita kidogo!!!!!
Wewe unawadanganya wenzio, mbona timu ikianza kufungwa unahamia jukwaa la MMU
Hahahahahahahaa!!!! Hii kali kweli. Tutahifadhi hii post yako na kukumbusha ifikapo May.
On 10th of June 2013 Ivan Gazidis said, "This year we will strive to get our transfer business done early. We are trying to get things done."
Happy July 29th :embarrassed1: