Tupo wengi sana ila tatzo club yetu ya Arsenal inaboa ndo maana watu tunaamua kuaga kimyaaa! miaka 8 hatunywi mvinyo mambo gan hayo?jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
![]()
Tupo wengi sana ila tatzo club yetu ya Arsenal inaboa ndo maana watu tunaamua kuaga kimyaaa! miaka 8 hatunywi mvinyo mambo gan hayo?jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
![]()
Acha matusi we mama/bibi/dada....Kushabikia Arsenal yatakiwa uwe na moyo wa chuma au kidogo uwe kichwani hamnazo.
Tupo wengi sana ila tatzo club yetu ya Arsenal inaboa ndo maana watu tunaamua kuaga kimyaaa! miaka 8 hatunywi mvinyo mambo gan hayo?
Update- Huguain yupo London kwa medical.
Mchezaji Gonzalo Higuain yupo jijini London kufanyiwa uchunguzi wa afya yake na baadae kumalizia taratibu za usajili wake kuchezea timu ya Arsenal.
Hizi ni habari ambazo zimekuwa zikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa timu yetu hii na inasemwa kwamba kulikuwa na matatizo kwenye makubaliano ya ada ya usajili na mawakala ambao ni baba yake na kaka yake.
![]()
Mshambuliaji Gonzalo Higuain.
Kama mambo yakienda sawia na usajili wa Julio Cesar wa QPR basi tutakuwa angalau tumefikia asilimia 90 ya usajili muhimu kwa timu yetu na huenda wachezai hawa wawili wakatangazwa siku ya Ijumaa.
COYG.
Vipi matoeo ya Uchunguzi wa Afya ya Huguain yakoje? Kamuda kamepita kidogo!!!!!
[h=1]Pepe Reina and Gonzalo Higuain undertake Napoli medicals hadi usiku deal itakuwa imekamilika[/h]mkuu Huguain na pepe reana wako jijini Napoli wakikamilisha taratibu za kujiunga na napoli uyu huguain aliekwenda London atakuwa anatoka KILUVYA FC
Vipi matoeo ya Uchunguzi wa Afya ya Huguain yakoje? Kamuda kamepita kidogo!!!!!
huna dogo?
Vipi matoeo ya Uchunguzi wa Afya ya Huguain yakoje? Kamuda kamepita kidogo!!!!!
Wacha fujo wewe leta updates za Manure kule far east? Nachikia Judas Iskariot goti linamsumbua ... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee mmeanza kuvuna chacha ....Nauliza tu jamani, sina nia mbaya
Wacha fujo wewe leta updates za Manure kule far east? Nachikia Judas Iskariot goti linamsumbua ... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee mmeanza kuvuna chacha ....
kashaenda napoli kaka...
Nimeeleza hapo juu, wewe kama ni Gunner sahau kuhusu Higuain na subiri kuona Suarez anakubali paundi milioni 150 na kuwa ndani ya Emirates siku chache zijazo.
Naona umepitiwa kidogo Wenger hawezi kununua mchezaji wa paundi milioni 150
Wanaweweseka hawa kama mchezaji wa Paundi mill 30+ wamemshndwa zaidi ya hapo wataweza?