Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona umepitiwa kidogo Wenger hawezi kununua mchezaji wa paundi milioni 150

alikusudia mshahara wa wiki na ni paundi 150,000 kama inavyoripotiwa na BBC

jana katoa pasi ya goli kwa Aspas huko australia ila hakwenda kushangilia na wenzake..."body language" inaonesha anataka kusepa tatizo kuna uwezekano real Madrid waka hijack deal na liverpool wanaomba RM waje kuliko kumuuza palepale EPL
 
Usajili wa siku hizi ni vurugu na Mourinho kasema hakuna uzalendo kwenye football siku hizi.Kwa mtazamo wangu Higuan angewafaa sana kuliko Suarez kwa nini nasema
1.Kutokana image aliyojingea Suarez akihamia timu ya England ataendelea kuandamwa na media na mashabiki hasa wa Liverpool
2.Gonzalo ni pure striker tofauti na Suarez ambaye anatokea pembeni na wapo Walcot na Poldi wanaoweza cheza hiyo nafasi
3.Gonzalo ni mmaliziaji mzuri angalia hata statistics zake pale Rm,amekuwa affected na ujio wa CR 7
4.Suarez ni bei ghali now ni 40 ml paundi while Higuain angeweza patikana kwa 30.

Baada ya kumuuza Gonzalo RM wana hela ya kumnunua Suarez hata Liverpool wakitaka 50 Perez akimtaka lazima atatoa.Kwa mtazamo wangu Arsenal inabidi wasajili beki wa kati ,mabeki 2 ni majeruhi huko mbele hakuna tatizo sana
 
beki wa kati na kipa lazima watakuja tu...its matter of patience
 
Both duo Gonzalo and Reina passed their medicals at Napoli and will be presented to fans on Monday.......
 
beki wa kati na kipa lazima watakuja tu...its matter of patience

Beki ndo ugonjwa mkubwa Arsenal yani ikikutana na timu pinzani ikifika tu goli mara mbili ya tatu probability ya kupata goli inakuwa kubwa, Forward si tatizo kubwa sana.
 
hivi suarez na higuain nani mkali? Kuna advantage anazo Suarez kuliko Gonzalo...tukiweka nje tabia alizonazo jamaa ni fighter,mzuri sana kwenye set pieces,deadly in the box na anakaba...

Modern football imeleta balaa na hasa walipokuja sugardadies hakuna tena "right values" kwa wachezaji kila mchezaji bei iko either mara 2 au 3 zaidi na greedness ya mawakala..

Kijana mi nakuona kwa sababu usajili wenu unasuasua mnatamani tusinunue mchezaji wa maana tufanane...unaposema tunaweweseka nadhani unajisema mwenyewe BBC na Skysports hawaripoti tetesi ndugu ni kweli tumepeleka hzo £41 mil na tunazungumza na mchezaji na tunamshawishi aombe kuuzwa na umafia umafia tu kama tulichokuwa tunafanyiwa miaka ya nyuma!

Si kweli kuwa BBC na SkySports kuwa hawaripoti tetesi, katika kipindi hichi cha Usajili si rahisi kupata habari za ndani ya Timu so habari nyingi huwa ni tetesi tu.
 
Arsenal_TBJ.JPG
Hii habari inawahusu wadau wa Arsenali
 
kashengo
article-2376995-1AFA9533000005DC-445_634x511.jpg

Sure Boy anapeta kwa sababu ameshacheza EPL na hana muda wa ku-gel angalia Giroud na Pod sasa ndio utaona moto wao mwaka huu baada ya kuzoea mikiki mikiki ya EPL.

BTW Usione wanoko wanashinda kwenye hii Thread wanafahamu fika muziki wa Prof. na Gunners.
 
Usajili wa siku hizi ni vurugu na Mourinho kasema hakuna uzalendo kwenye football siku hizi.Kwa mtazamo wangu Higuan angewafaa sana kuliko Suarez kwa nini nasema
1.Kutokana image aliyojingea Suarez akihamia timu ya England ataendelea kuandamwa na media na mashabiki hasa wa Liverpool
2.Gonzalo ni pure striker tofauti na Suarez ambaye anatokea pembeni na wapo Walcot na Poldi wanaoweza cheza hiyo nafasi
3.Gonzalo ni mmaliziaji mzuri angalia hata statistics zake pale Rm,amekuwa affected na ujio wa CR 7
4.Suarez ni bei ghali now ni 40 ml paundi while Higuain angeweza patikana kwa 30.

Baada ya kumuuza Gonzalo RM wana hela ya kumnunua Suarez hata Liverpool wakitaka 50 Perez akimtaka lazima atatoa.Kwa mtazamo wangu Arsenal inabidi wasajili beki wa kati ,mabeki 2 ni majeruhi huko mbele hakuna tatizo sana

Nawe ulikuwa manager lini? Wacha ngebe! Mtazamo wake peleka kwa mashoga wenu kule Old Trashford. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Matokeo yake yalikuwa ni kwa Real Madrid na support ya haters kuongeza dau kuwa hizo paundi milioni 34.5 badala ya milioni 26 walizokubaliana.

Arsenal walikwishakubaliana na baba yake Higuain lakini walikuwa hawafahamu mipango mingine ya raisi wa Real Madrid , ambae mahesabu yake ni kumuuza Higuain na kuongeza pesa kumnunua Luis Suarez na Gareth Bale.

Lakini Arsenal wakaamua kutema suala la Higuain ambae hata hiyvo hajachacheza sana mechi nyingi na kushikilia suala ya Luis Suarez ambalo limezaa matunda na Liverpoll leo wamesalimu amri na kumruhusu Suarez azungumze na Arsenal.

Inajuliikana wazi kwamba Luis Suarez ni mshambuliaji makini na ndie atakeziba nafasi ya RVP na kila hater anafahamu hivyo na Liverpool pia wanafahamu hivyo.

Arsenal ina pesa za kutumia na wanataka tu kumsajili Luis Suarez kwanza na mengine yatafuata baadae wewe mkuu ukae usubiri tu the new Arsenal outfit, maana dirisha la usajili bado lipo wazi hadi tarehe 15 August.

Anyway maskauti wapo standby kushughulikia tiketi ya Suarez kwenda London kwa kufanyiwa uchunguzi ila mazungumzo yatakuwa jijini Melbourne na akikubali dau la paundi milioni karibu 50 hivi basi atakwaa ndege kuelekea London kwa medical.

Hapo kwenye red inadhihirisha ni jinsi washabiki wanavyoweza kuchezewa akili kirahis na kumeza kila kitu wanachosema Gazidis na Wenger. Ili mchezaji ahame ni lazima kuwe na makubaliano kati ya mchezaji na timu zote mbili, na pia makubaliano kati ya timu mbili. Kila mu anakumbuka kwa raisi wa Real Madrid alisema wazi kwamba hakuna bid yoyote kutoka Arsenal, na wala Arsenala hawakanusha tamko hilo. Kukubaliana na baba yake Higuain ambaye pia ndo wakala wake hakumpi uhalali wowote wa kuhama mpaka Real Madrid wahusishwe. Sasa kama kulikuwa hakuna makubaliano na Madrid ilikuwaje mkaanza kusema Higuain yuko London kwa uchunguzi wa afya? Delusion ni ugonjwa hatari sana. Mmeshapigwa changa la macho, mwisho wa dirisha la usajili mtaambiwa "si mmeona wenyewe tullibid kwa Higuain na Suarez lakini tukazidwa dau na timu nyingine".
 
hivi suarez na higuain nani mkali? Kuna advantage anazo Suarez kuliko Gonzalo...tukiweka nje tabia alizonazo jamaa ni fighter,mzuri sana kwenye set pieces,deadly in the box na anakaba...

Modern football imeleta balaa na hasa walipokuja sugardadies hakuna tena "right values" kwa wachezaji kila mchezaji bei iko either mara 2 au 3 zaidi na greedness ya mawakala..

Kijana mi nakuona kwa sababu usajili wenu unasuasua mnatamani tusinunue mchezaji wa maana tufanane...unaposema tunaweweseka nadhani unajisema mwenyewe BBC na Skysports hawaripoti tetesi ndugu ni kweli tumepeleka hzo £41 mil na tunazungumza na mchezaji na tunamshawishi aombe kuuzwa na umafia umafia tu kama tulichokuwa tunafanyiwa miaka ya nyuma!

Cool down goons! Naona mnachapia sana namba nafikiri ni mchecheto wa usajili. Mara kumnunua Suarez kwa paundi milioni 150, na sasa huyu nae anataka tuamini kwamba Arsenal wamepeleka bid ya £41 mil. Ukweli ni kwamba Arsenal wamepeleka £40 mil plus £1. Nafikiri kuna tofauti kubwa sana kati ya £41,000,000 na £40,000,001, walichopeleka Arsenal ni £40,000,001.
 
alikusudia mshahara wa wiki na ni paundi 150,000 kama inavyoripotiwa na BBC

jana katoa pasi ya goli kwa Aspas huko australia ila hakwenda kushangilia na wenzake..."body language" inaonesha anataka kusepa tatizo kuna uwezekano real Madrid waka hijack deal na liverpool wanaomba RM waje kuliko kumuuza palepale EPL

Kuna uwezekano mkubwa akaishia Madrid sababu alishasema ndio dream yake,na nina wasiwasi atakuwa ana-flirt na Arsenal tu ili kuwafanya Madrid warushe bid yao pia. Kumbuka kwamba Madridi wamemuuza Higuain hivyo wanahitaji replacement yake, kuna striker gani mwenye quality ambaye yuko sokoni sasa hivi zaidi yake na pengine Rooney? Sitashangaa kusikia Madrid wakirusha bid yao ndani ya siku/wiki chache zijazo.
 
article-2378892-1B010D33000005DC-47_634x384.jpg

On target: Lukas Podolski (left) struck the opener for Arsenal
against the Red Diamonds

article-2378892-1B017D8F000005DC-732_634x416.jpg

How about that? Chuba Akpom celebrates
after earning Arsenal the victory

article-2378892-1B00FE52000005DC-161_634x449.jpg

Taken out: Yuki Abe and Theo Walcott clash during the friendly

article-2378892-1B00A6FB000005DC-595_634x428.jpg

We believe in Boss: Arsene Wenger is shown support
by these fans in Saitama

article-2378892-1B00F59E000005DC-266_306x423.jpg

article-2378892-1B00FF4F000005DC-226_306x423.jpg

Acrobatics: Olivier Giroud (top) and Serge Gnabry (bottom)
take evasive action against the Red Diamonds

article-2378892-1B007A3C000005DC-691_634x408.jpg

Backing: Walcott had a mixed game but these fans loved him

article-2378892-1B017215000005DC-218_634x412.jpg

Mexican wave: Japanese Arsenal fans enjoy themselves
prior to the pre-season friendly match

article-2378892-1B01751A000005DC-161_634x361.jpg

All together now: Arsenal players show off a banner after the game

BTW Prof na vijana wanatarajiwa nyumbani siku si nyingi baada ya kukamilisha ziara iliyofana kule mashariki ya mbali ..... ..... ..

article-2378765-1B00608E000005DC-185_634x474.jpg

Will Sure boy land after an audacious £40 million bid plus one pound?

article-2378765-1AF032CA000005DC-203_634x507.jpg

New manager? Arsenal boss Arsene Wenger wants Suarez
to spearhead his attack at the Emirates

BTW Kuna wanoko ati wanachema tinageresha! Watakiona cha ntema kuni kilichomtoa kanaga manyoya.
 
Kwakujitia uchizi wewe! unaongoza
 
Kwakujitia uchizi wewe! unaongoza

Dah! Naona mapotea njia chacha. Hii ni thread ya
Gunners au na hii mnataka kuifunga? Inawaumiza sana ehe? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hebu someni hapa comment za Mzee wetu, mi nachoka. Luis Suarez transfer: Arsenal play Luis Suarez waiting game as Wenger set to wait for his man - Mirror Online

The highlight of that article being, "We still have a strong squad but we are there on the market to try to strengthen our team. With or without additions we can be title challengers next season."

With or WITHOUT additions? Do you guys agree?
Tulishasema Arsenal hata ikiwa na hela ni vigumu sana Wenger kubadilisha philosophy yake.Na jinsi Giroud anavyofunga huko Asia sidhani kama atasajili mshambuliaji
 
Back
Top Bottom