Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
hao unaowaona wakipinga kila kitu cha Arsenal, timu inawauma na hawawezi kukaa bila kufuatilia timu, wao ndio wale "nataka sitaki"
Mimi sitegemei kuona usajili wa forward zaidi ni kati center half kwani yule mfaransa bado yumo lakini mjerumani naona yupoyupo tu na full back right inaanza kuchoka Sagna
Goal keeper tunahitaji kwani hatuna ushindani kwenye nambari hapo lazima uwepo ushindani ili kila mtu ajiweke fiti
Mtu muhimu kwa timu hii ni mtu wa kutia hamasa( mchezaji kiongozi) ikiwa atapatikana basi timu tunayo ya kushindana

Mkuu hao jamaa dawa yao ni kuwapiuza tu..Hauna haja ya kujibizana nao...
Mi huwa nashindwa kuwaelewa Peasant na wenzake....Timu zao zina thread hawachangii lakini kutwa kucha wako hapa kutoa maneno ya dhihaka na wakati mwingine 'matusi' dhidi ya mashabiki wa Arsenal......Kuna wengine humu naona siku zao haziendi bila kutoa dhihaka dhidi ya Arsenal na mashabiki wake.....Inasikitisha na kukera sana....
Ustaarabu hakuna kabisa....Watuache mashabiki wa Arsenal na si kutusakama kipuuzi maana kila mtu ana uhuru wa kushabikia timu anayotaka...
Why Always Arsenal?.....