Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hebu someni hapa comment za Mzee wetu, mi nachoka. Luis Suarez transfer: Arsenal play Luis Suarez waiting game as Wenger set to wait for his man - Mirror Online

The highlight of that article being, "We still have a strong squad but we are there on the market to try to strengthen our team. With or without additions we can be title challengers next season."

With or WITHOUT additions? Do you guys agree?

Mi nadhani uwezo wa kufikiri wa huyu Wenger unaathiriwa na umri-ni wakati sasa akapumzika
 
Chuba-Akpom-Arsenal-Urawa-008.jpg

Chuba Akpom tucks home his fourth pre-season goal ... ...

BTW vijana machachari wameonyesha nia yao ya kufanya kweli mara EPL itakapoanza ..... .Chuba, Serge wameonyesha uwezo mzuri tegemea mambo makubwa huko mbeleni .... ...
 
Tulishasema Arsenal hata ikiwa na hela ni vigumu sana Wenger kubadilisha philosophy yake.Na jinsi Giroud anavyofunga huko Asia sidhani kama atasajili mshambuliaji

.....safari hii nafasi ya nne yenu bila wasiwasi Belo wa Old Trafford 😀....
 
Last edited by a moderator:
Nawe ulikuwa manager lini? Wacha ngebe! Mtazamo wake peleka kwa mashoga wenu kule Old Trashford. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

.....hata wasikupigishe kelele hawa, Man Citeh na Man United safari hii watakuwa wanagombea nafasi ya tatu na ya nne....

Title contenders will be Arsenal na Chelsea bila wasiwasi, kombe linarudi Londonistani!
 
jamani babu kasajili mwengine tofauti na sanogo? mbona kama pressure inapanda....
 
Hapo kwenye red inadhihirisha ni jinsi washabiki wanavyoweza kuchezewa akili kirahis na kumeza kila kitu wanachosema Gazidis na Wenger. Ili mchezaji ahame ni lazima kuwe na makubaliano kati ya mchezaji na timu zote mbili, na pia makubaliano kati ya timu mbili. Kila mu anakumbuka kwa raisi wa Real Madrid alisema wazi kwamba hakuna bid yoyote kutoka Arsenal, na wala Arsenala hawakanusha tamko hilo. Kukubaliana na baba yake Higuain ambaye pia ndo wakala wake hakumpi uhalali wowote wa kuhama mpaka Real Madrid wahusishwe. Sasa kama kulikuwa hakuna makubaliano na Madrid ilikuwaje mkaanza kusema Higuain yuko London kwa uchunguzi wa afya? Delusion ni ugonjwa hatari sana. Mmeshapigwa changa la macho, mwisho wa dirisha la usajili mtaambiwa "si mmeona wenyewe tullibid kwa Higuain na Suarez lakini tukazidwa dau na timu nyingine".

Mkuu, sijawahi kujibu hoja yako yoyote ile lakini hii naona unaenda "personal" na sio haki.

Jaribu kuzungumza kuhusu football na sio matusi.

Matusi hayaleti tija.
 
Im Arsenal fan, lakini Wenger anaweza asimsajili tena Suarez sababu Giroud ameanza kuonesha improvement huko Asia!!
 
Mkuu, sijawahi kujibu hoja yako yoyote ile lakini hii naona unaenda "personal" na sio haki.

Jaribu kuzungumza kuhusu football na sio matusi.

Matusi hayaleti tija.

Mkuu hao jamaa dawa yao ni kuwapiuza tu..Hauna haja ya kujibizana nao...

Mi huwa nashindwa kuwaelewa Peasant na wenzake....Timu zao zina thread hawachangii lakini kutwa kucha wako hapa kutoa maneno ya dhihaka na wakati mwingine 'matusi' dhidi ya mashabiki wa Arsenal......Kuna wengine humu naona siku zao haziendi bila kutoa dhihaka dhidi ya Arsenal na mashabiki wake.....Inasikitisha na kukera sana....

Ustaarabu hakuna kabisa....Watuache mashabiki wa Arsenal na si kutusakama kipuuzi maana kila mtu ana uhuru wa kushabikia timu anayotaka...

Why Always Arsenal?.....
 
The blood is the red of north London - Getting ready for new season. Tupo pamoja wakuu wangu wote.
 
Mkuu hao jamaa dawa yao ni kuwapiuza tu..Hauna haja ya kujibizana nao...

Mi huwa nashindwa kuwaelewa Peasant na wenzake....Timu zao zina thread hawachangii lakini kutwa kucha wako hapa kutoa maneno ya dhihaka na wakati mwingine 'matusi' dhidi ya mashabiki wa Arsenal......Kuna wengine humu naona siku zao haziendi bila kutoa dhihaka dhidi ya Arsenal na mashabiki wake.....Inasikitisha na kukera sana....

Ustaarabu hakuna kabisa....Watuache mashabiki wa Arsenal na si kutusakama kipuuzi maana kila mtu ana uhuru wa kushabikia timu anayotaka...

Why Always Arsenal?.....

.....voyeurism hiyo tunaita, au kule mwambassa wanasema 'wakozi meni!'
 
Mkuu hao jamaa dawa yao ni kuwapiuza tu..Hauna haja ya kujibizana nao...

Mi huwa nashindwa kuwaelewa Peasant na wenzake....Timu zao zina thread hawachangii lakini kutwa kucha wako hapa kutoa maneno ya dhihaka na wakati mwingine 'matusi' dhidi ya mashabiki wa Arsenal......Kuna wengine humu naona siku zao haziendi bila kutoa dhihaka dhidi ya Arsenal na mashabiki wake.....Inasikitisha na kukera sana....

Ustaarabu hakuna kabisa....Watuache mashabiki wa Arsenal na si kutusakama kipuuzi maana kila mtu ana uhuru wa kushabikia timu anayotaka...

Why Always Arsenal?.....

Yaani watuache kabisaa
yaaan naipenda arsenal mpaka natamani kungekua na mpesa au tigo pesa hata 250 yangu niwatumie ili tu mchango wangu wauone
Ila babu mbona hafanyi makeke au anataka kutusuprise mwisho wa usajili
 
Jamani wakuu,hadi sasa sijamuelewa Wenger manake kapewa pesa mezani tena yakutosha, hadi leo sijaona usajili. Au anasubiri tupigwe mechi tano za mwanzo ndo asajili? Huyu mzee siyo siri ataniua kwa presha!!!!!

wenger anacheza na akili za mashabiki ndo maana naawazungusha leo huku kesho kule muda unaenda tu mara lingi inaanza na kila siku anasema atasaini jina kubwa
 
Kutokana na historia ya AW katika usajili wa miaka ya hivi karibuni, mie niliandika hapa kama sikosei May 2013, kwamba katika usajili wa 2013/2014 tusitegemee jipya itakuwa ni usanii ule ule wa miaka karibuni wa kusajili magarasa. Naona kauli yangu imetimia. AW ni janga la Gunners.

Jamani wakuu,hadi sasa sijamuelewa Wenger manake kapewa pesa mezani tena yakutosha, hadi leo sijaona usajili. Au anasubiri tupigwe mechi tano za mwanzo ndo asajili? Huyu mzee siyo siri ataniua kwa presha!!!!!
 
Jamani wakuu,hadi sasa sijamuelewa Wenger manake kapewa pesa mezani tena yakutosha, hadi leo sijaona usajili. Au anasubiri tupigwe mechi tano za mwanzo ndo asajili? Huyu mzee siyo siri ataniua kwa presha!!!!!

Haulo peke yako kiongozi naona majeneza yetu yanaweza kuongozana!!!
 
Back
Top Bottom