Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Wakuu swala la kununua wachezaji sio rahisi kama baadhi ya members wanavyofikiri siku hizi soka ni umafia tu, tutapata wachezaji muhimu kabla ya dirisha kufungwa, tayari tuna wachezaji nyota ambao mwaka jana hawakuwika mfano Jack Wilshere, na kijana hatari wa miaka 16 ambaye ameonyesha umahiri wake katika kabumbu alipokuwa kule far east ..... ..... ..... mategemeo ya sure Boy, golikipa na mchezaji moja wa nyuma. Usajili ni siri hata hii ya Sure Boy ni Loser fools ndio walimwaga mtama lakini angetua kwa kushtukiza vile vile Wine Romney anaweza kutua Emirates bado muda upo. COYG .... ....
......kabisa bro, kuna wanaonunua wachezaji ili;
1. Kuimarisha team - Arsenal included...
2. Kuziba mapengo -
3. Kuua upinzani - Mourinho wa Chelski...
4. Almuradi wamenunua! - Man City na Spurs