Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

BAK hivi unawezaje kununua mchezaji nyota au kumbakiza ukiwa na Strict wage structure? Falcao,Benzema,Rvp,Rooney utaweza kuwanunua ishu kuwalipa! Na ndo balaa tulilokuwa nalo ndugu
 
Last edited by a moderator:
Gunners wakitaka kufanya kweli basi wanaweza hakuna pingamizi.

Arsenal shareholder Alisher Usmanov criticises the club

ni kweli kabisa hii option aliiona david Dain na yeye aliwambia wasipotafta Tycoon atakaemwaga pesa za usajili na alimpendekeza Ulisher wenzake akina Chair man wa klabu Peter Hillwood,Danny Fizzman(Rip) na Lady Nina Bracewell smith wakakataa mpango huo waka opt prudent Model wakauza hisa zao kwa Stan Kroenke ambae ana vision kama yao

Dein akauza hisa zake kwa Ulisher akaondoka akaletwa Ivan Gazidis! Wakamwekea ngumu Usmanov asiwe na la kusema klabuni japo ni majority shareholder, basi ndo maana unamsikia akilalama nje ya ulingo wa maamuzi ya bodi ya Arsenal..

Kusema kweli mpango wa Uwanja aliuleta Wenger na Dein ila wakatofautiana jinsi la kulipa na kubaki competitive hawa wengine wakalenga CL spot na kulipa kwa natural resources za klabu

Ulisher mfanya biashara na shabiki wa Arsenal mi nadhani analeta stori flani za kucheza na mind za Fans apate kuinvest atengeneze faida ila wenger hapendi pesa tu ndo inunue mafanikio, thats why huwa namlaumu wenger tu katika Tactics approach lakini watu hudhani yeye ndo anawauza kwa kutaka!

Miaka 8 imepita now that madness is over no financial excuses tena
 
Hivi kwa mfano ungekuwa wewe usingeshangilia kupata nafasi ya kucheza UCL?.....

Baada ya mechi kuna pundit mmoja alisema kuwa japokuwa Arsenal hawajawihishinda kombe lolote kwa miaka mingi, lakini wamefanikiwa ku-qualify for champions league kwa miaka hiyo hiyo.

Akasema kuwa mashabiki wa Arsenal must be proud of this.

Pundits wenzake walidhani alikuwa anatania, lakini akasizitiza kuwa kuwa he was very serious.

Kwa hiyo, you are right; kutoshinda kikombe, but ku-qualify for the champions league makes Arsenal fans very proud.

And I'm serious about this too.
 
[h=1]Gareth Bale to sign new Tottenham contract worth £150,000 a week[/h]• Attacking midfielder commits to Spurs for the near future
• Real Madrid will have to wait at least one more season

Gareth-Bale-of-Spurs-008.jpg

Gareth Bale has signed a new contact which will keep him at Spurs for at least another season. Photograph: Ian Walton/Getty Images

Gareth Bale is poised to commit his immediate future to Tottenham Hotspur after agreeing improved terms in principle to remain at White Hart Lane despite the club's failure to reach the Champions League. The deal is expected to include a release clause for bids over £50m that can be triggered at the end of next season.

Spurs' victory over Sunderland on Sunday was in vain as André Villas-Boas's team ended the season in fifth place, just behind their bitter rivals Arsenal, despite amassing 72 points. Missing out on Europe's lucrative elite competition has serious implications for the club's revenue streams, and left Tottenham vulnerable to bids for their better players.
The chairman, Daniel Levy, has indicated, though, that he will endeavour to add to the squad before next season. Giving Bale, the Professional Footballers' Association player of the season and young player of the season, terms worth about £150,000 a week would be a serious statement of intent given that a number of suitors, not least Real Madrid, are interested in buying the Wales international.

The 23-year-old scored 31 times for club and country this season, including Sunday's winner, but has always indicated a willingness to stay.
Tottenham are confident they can price many of the forward's admirers out of the market but the release clause would allow Bale and his club to review the situation at the end of next season. The hope is that the club will qualify for the Champions League next time.

The forward joined the rest of Villas-Boas's squad in flying to the Bahamas on Monday for a post-season Caribbean tour, which includes an exhibition match against Jamaica on Thursday at the Thomas A Robinson National stadium on Nassau island.

"Will the big clubs be able to lure Bale away? It is very, very difficult to lure a player of [these dimensions] away," said the manager.
"You have to hold on to your best assets. Gareth is travelling with the team. This is an opportunity for him to touch that fan base that he has around the world, so we are looking forward to him coming and competing.

All of our players will be coming down. We have a few developmental players and we hope to bring them all so that they can get the experience."

Villas-Boas, who expects Wiliam Gallas to depart under freedom of contract, will discuss the club's plans for the summer with Levy and the owner, Joe Lewis, who is based in the Bahamas over the course of the trip. He hopes to bring in Fabio Capello's former England general manager, Franco Baldini, as a technical director.

"We have been outlining the route ahead for what we want to do in terms of the club structures and hopefully the arrival of somebody else in the structure for the recruitment side, a technical director, so hopefully we can take those steps forward," added the Portuguese.

"We got ever so close, but they (Manchester United, City, Chelsea and Arsenal) will do their job in window, and we will do ours the Tottenham way: scouting properly and look for good grabs in summer window to make it a stronger squad."
 
Rafael Benitez bado hamumtaki? Alafu ebu peruzi kwenye mitandao ya Arsenal utagundua kitu ndo maana nimeweka muhtasari kwenye post moja hapa! Ile balaa la kifedha na kunyanyasika kwa miaka 8 limeisha na sasa tutaishi maisha mapya!

Tangu 2005 Arsenal imelazimika kuishi maisha magumu "prudent financial model" na ikalazimika kuweka strict wage structure na wachezaji nyota ikawa vurnelable kukaa nao wakawa wakitaka mishahara mikubwa wanaondoka...karibu wachezaji nyota wote walifuata pesa na vikombe ispokuwa Fabregas na Reyes (Home sick)

Taarifa ya September mwaka jana kwenye kikao cha Board na Arsenal supporters trust (AST) wenger alisema "tutaanza kushindana baada ya miaka 2 kwani sasa hatuwezi kushindana na vilabu vikubwa vyenye pesa" Miaka 2 ni kuanzia season ijayo kwani Deni la miaka 8 la uwanja £360+interest rates (adjusted inflation) limeisha nadhani hujui limelipwaje nakujuza Tv revenues,Ticket sales,merchandise revenues,kuuza wachezaji nyota,na recently pesa zimetokana na mikataba mipya ya Fly Emirates na Puma!

That financial madness is behind us no more silly exodus timu itajengwa kupitia british spine ya wilshere,jenkinson,ramsey,oxlade chambelain,theo walcott,gibbs hawa wamesaini miaka 5 mwaka jana kwani watakaa sana ukichanganya na wageni wengine kama Arsene 96 alivyowakuta keown,adams,wright,winterburn,bould,parlour,seaman na Lee dixon nae akaongeza wafaransa wake unakumbuka manyanyaso uliyoyapata kabla ya 2003 Russian revolution!

WENGER ndo kocha wa kutuondoa hapa tulipo kama kipindi cha mpito amegangamala pamoja na bajeti finyu kama ya Everton ila hatujawahi kumaliza nje ya CL spot na kama akicheza karata zake vizuri kwenye transfer tutapambana next season hata kama hatutofanikiwa kupata kombe ila wenger kasema "top 4 spot is not enough next season we'll have to challenge major honours.

Alafu acha ushabiki wa kitoto kushinda hapa unabwabwaja

Najua washabiki wa Arsenal are the most deluded fans in the world. Wakati wa ku-renew season ticket umefika mtapewa promise kibao, lakini hakuna cha maana kitafanyika. Arsenal ni ya nne kwenye EPL kwa wage bill, kwa hiyo kumaliza ya nne sio overachievement kama unavyotaka tuamini, that's exactly where you belongs. BTW, hongera kwa kunyakuwa hicho kikombe chenu, lini mnaparade mitaa ya London kwenye open top bus....hahaha.
 
Kinachokusumbua ni ushabiki wa kiswahili kama Julio maana sioni point unazoweka ila pumba wasubiri wengine unaowezana nao aisee
 
Kinachokusumbua ni ushabiki wa kiswahili kama Julio maana sioni point unazoweka ila pumba wasubiri wengine unaowezana nao aisee

Kashengo usihangaike na hawa yatima, si ulisikia yule mrusi amekufa bila kuwa na chochote baada ya dhuluma kule kwao. Anayefuatia ni Abraham o Vic akifa na timu inakufa hawa wanaangalia pua zao wanafahamu mziki wa Gunners enjoy summer tu chacha. Wacha wachubiri kula matapishi yao, hivi uliona kuna mtu anakula matapishi na kusifia ati ni chakula bora? wanaosifia ndio hao unawaona wanajipitisha pitisha.
 
Kama mmetuzoea mbona mlimlilia judas? wacha ngebe kijana. nenda kwenye uzi wenu wa mashoga khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kinachonifurasha ni kuwa mashoga waliwabungua 8
 
khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kinachonifurasha ni kuwa mashoga waliwabungua 8

Mkuu ushoga ni deal kule UK hata waziri mkuu yupo kwenye mpasuko kuhusu ushoga .... .... BTW wewe ni shoga au wanakusingizia tu? Maana huwezi kupenda ushoga kama wewe chio shoga khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hebu tuweke sawa hapa!

Kumbuka msema kweli ni kipenzi cha mwenyezi mungu.
 
usipindishe hoja hao unaowaita mashoga wamewabungua mara ngapi?
 
Kashengo usihangaike na hawa yatima, si ulisikia yule mrusi amekufa bila kuwa na chochote baada ya dhuluma kule kwao. Anayefuatia ni Abraham o Vic akifa na timu inakufa hawa wanaangalia pua zao wanafahamu mziki wa Gunners enjoy summer tu chacha. Wacha wachubiri kula matapishi yao, hivi uliona kuna mtu anakula matapishi na kusifia ati ni chakula bora? wanaosifia ndio hao unawaona wanajipitisha pitisha.

Huyu jamaa ni purely glory hunter! Timu yake ikicheza anakuwa shimoni kama digidigi na unaweza shangaa wanatumia mega money na ligi waka jana wamemaliza wa 6 na mwaka huu wako 2 points above Gunnerz...ATALAMBA matapishi soon huyu msakatonge...mtotowamjini alikuwa sahihi jamaa kawa chelsea 2004 baada ya Mou kuja England
 
Usipate shida sana ya kutaka kujua lini nimeanza kushabikia Chelsea. Nimeanza kwenda Stamford Bridge kabla sijatimiza miaka 10 na sasa niko kwenye 30s. Nina hakika hiyo ni hesabu rahisi sana hata kwa kichwa panzi kama wewe kujua kwamba sijaanza 2004. Ninashabikia Chelsea kwa sababu ya address, nimeiona ikicheza daraja la pili hapo Darajani. Kesi imefungwa.
Kwa upande wako kwanini umechagua Arsenal na wala si West Ham, Newcastle au Derby County? Kwa sababu ilikuwa inafanya vizuri....na hiyo ndio definition ya glory hunter. Majority ya washabiki walio mbali na England ni glory hunters kwa sababu wanavutiwa na timu kubwa tu ambazo ndio zinafanya vizuri, ndio maana ukiangalia Tanzania washabiki wengi wa Liverpool ni wazee waliokuwa wanaifuatilia miaka ya 70-80.
 
Hamna kitu hapo ndugu glory hunting inakuhusu eti ukiwa na miaka 10? Who to believe this childish stories? Alafu una uhakika gani kama niko Tanzania?
 
article-0-19EC41C7000005DC-736_634x333.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee watoto yatima hawaishi kuja kupakuwa chakula hapa kwao kuna njaa. Kama media ya UK hawapati habari za Gunners watapata hasara maana kila uchwao hawaongelei lolote lile zaidi ya Gunners maana wanafahamu nini kitakuja kuwapata. Safi sana hata hawa
Peas of ants wanawewesekaweweseka tu humu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu Kashengo salaam,

Upo spoton na mawazo yako.

Kabla ya Arsenal kwenda safari za maandalizi huko bara la Asia watathibitisha usajili wa wachezaji wawili watatu hivi.

Lakini mpaka sasa ni mchezaji mmoja tu ambae anaweza kutangazwa kukamilika usajili wake lakini ni mshambuliaji mdogo kutoka France aitwae Yaya Sanogo, ambae anachezea timu ya Auxerre.

Update:

Mchezaji wa nafasi ya ushambuliaji Yaya Sanogo kutoka timu ya Auxerre nchini Ufaransa leo hii amekamilisha taratibu za kujiunga na Arsenal na amefanyiwa uchunguzi wa afya yake kwenye kituo cha mazoezi cha London Colney kaskazini mwa London.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 anatarajiwa kutangazwa mwishoni mwa mwezi Juni atakapomaliza mkataba wake rasmi na Auxerre.

Mchezaji huyo anachezea timu ya taifa ya Ufaransa ya vijana wa umri chini ya miaka 21 na ni mchezaji wa tatu kutoka kwenye timu hiyo ya Auxerre ambayo inashiriki ligi ya pili ya nchi hiyo. Abu Diaby na Bacary Sagna pia walitokea kwenye timu hiyo walipojiunga na Arsenal ni uwezo wake wa kumiliki mpira, mwendo na uwezo wa kiufundi ndivyo vilivyowavutia Arsenal.

Auxerre%27s%20French%20forward%20Yaya%20Sanogo%20celebrates%20after%20scoring%20a%20goal%20during%20the%20French%20L1%20football%20match%20Auxerre%20vs%20Toulouse-1749553.jpg

Yaya Sanogo

Huu utakuwa ni usajili wa kwanza kwa msimu wa 2013/14 kwa kutumia pesa kidogo iliyotokana na mauzo ya Cesc Fabregas na Alex Song na bado jumla ya kitita halisi cha zaidi ya paundi milioni 100 zinazotarajiwa kutumiwa kusajili wachezaji zaidi hakijatolewa kwa meneja Arsene Wenger.

Karibu Arsenal Yaya Sanogo.

COYG!
 
This is typical wenger signings hataki mambo ya bidding wars hata Jovetic na Higuain hawatokuja Arsenal we utakuja kusikia "suprise"
 
Back
Top Bottom