Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Team news:
Line-up:
Almunia
Sagna - Gallas - Vermaelen - Gibbs
Ramsey - Fabregas - Diaby
Arshavin - RVP - Eduardo

Naona Wenger kaamua kuwapumzisha Song na Nasri na wataanza Ramsey na Eduardo.
Timu sio mbaya, ila nilipenda kumuona Mannone golini.
 
sub wapo akinanani?
 
naona wolves wameanza kwa kasi sana.
Dakika zao 30 tu watatulia wenyewe, tuogope hizi freeckick na kona tu, kati tuko wepesi kidogo, Ramsey anacheza holding na Diaby amewaachia wanapita sana hapa kati.
 
Dakika zao 30 tu watatulia wenyewe, tuogope hizi freeckick na kona tu, kati tuko wepesi kidogo, Ramsey anacheza holding na Diaby amewaachia wanapita sana hapa kati.
tukipata goli moja tu watafungua uwanja wenyewe hawa.sema tusilalae tu manake tunamchezo wakulala .afadhali song kaja.
 
That is Arsenal Goal, Eduardo sio magoli ya kugaiwa!
 
yep....hope isije ikawa kawa west-hm

Tumejifunza kwa mechi ya W/ham, sidhanii kwamba tunaenda mapumziko tukiwa tunaongoza 3-0, hawa Wolve wanaweza kurejesha.
Tatizo mvua ni kubwa kidogo na inatuzuwia tusicheze pasi kwa kasi, hawa Wolve wako dhaifu katika counter attack, mbali ya mabao ya 2 na 3 tulipata nafasi nyengine 2 kwa sampuli hiihii, kama ataingia Ebue ama Nasri basi lipo goli jengine japo 1.
 
Back
Top Bottom