Yeyote anaeongea kinyume na mawazo ya Arsenal hapa anakaribishwa lakini ndio ushabiki huo.
Sisi ndio wapenzi wa Arsenal na hatutaicha timu yetu itetereke.
Yeyote anaeongea kinyume na mawazo ya Arsenal hapa anakaribishwa lakini ndio ushabiki huo.
Sisi ndio wapenzi wa Arsenal na hatutaicha timu yetu itetereke.
Afadhali yako wewe unayejikubali mwenzio Wacha1 huwa haonekani kabisa, hapa atakuja kesho kutwa na mambo ya bahasha
Tatizo lenu kila mwaka mnakuwa kwenye kipingi cha mpito, huo mpito hauishi tuu..! Ona sasa mmepigwa LIBOLO kama simba vileNi kipindi cha mpito na Arsenal inaundwa upya, tutarudi tu kusukumana na Man Utd, Chelsea na Man City.
Man Utd walienda kucheza Europa ligi na hakuna alieongea, Man City nao wametolewa mapema tena kwenye mzunguko wa kwanza hakuna aliesema na sasa hata mabingwa Chelsea wanacheza Europa ambayo ni ligi ya failures na hakuna anaesema.
Nimeamini hii timu ipo kwenye nafasi nzuri sana kujiandaa kwa msimu ujao.
Tatizo lenu kila mwaka mnakuwa kwenye kipingi cha mpito, huo mpito hauishi tuu..! Ona sasa mmepigwa LIBOLO kama simba vile