Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 366
Its over wakulu, we need 4 goals in Munich! If they score one (which am sure they will do)- we'll need to score 5, impossible!
Its over wakulu, we need 4 goals in Munich! If they score one (which am sure they will do)- we'll need to score 5, impossible!
Unakumbuka timu ya simba ilifungwa 4-0 uwanja wa nyumbani na ikafunga 5-0 ugenini, ilikuwa ni timu ya Zambia.
mwaka 1979 Simba ilifungwa 4-0 na Mufulira Wanderers ya Zambia Dar es Salaam na watu wakakata tamaa ya timu kusonga mbele, lakini katika mchezo wa marudiano ikashinda 5-0 ugenini na kusonga mbele.
Hakuna lisilowezekana. Lakini Arsenal wana kazi ya kupanda mlima Kilimanjaro. Kwa wapenzi wa Arsenal poleni kwa kipigo lakini hakuna anayeweza kubisha kuwa B.Munich ilikuwa timu bora leo na iliyostahiki kushinda.Walicheza kwa kiwango cha juu na walijenga ngome imara.
I wish Arsenal ingekua na uwezo wa kuloga kama Simba na sie tupite kimiujiza>>>Unakumbuka timu ya simba ilifungwa 4-0 uwanja wa nyumbani na ikafunga 5-0 ugenini, ilikuwa ni timu ya Zambia.
arsenal ni sawa na mkia wa Mbuzi...
Haustiri uchi wala haufukuzi Nzi
I wish Arsenal ingekua na uwezo wa kuloga kama Simba na sie tupite kimiujiza>>>
Mike Dean kawabeba Bayern! khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
Bradford knocked you out
Blackburn have knocked you out
Bayern Munchen will knock you out
Remember the letter B
wacha kaingia mitini nini? :biggrin1:
Walete walete kati
![]()
Ukiona Mtu Mzima analia kama mtoto ujue kuna mengi, inawezekana amefurahishwa sana au kaumizwa sana
![]()