Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa mara ya kwanza katika mechi za timu yetu ya Arsenal ndio naona watu wanaondoka kipindi cha pili hakijaanza. Hii si dalili nzuri.
 


Goli la kwanza la Bayern Munich likifungwa na Toni Kroos namba 39 mgongoni.



Thomas Muller akichomeka goli la pili.
 
Afadhali Santiago Cazorla ameanza kucheza kwa kujiamini na anasaidiana sana na Jack Wilshere.
 
Thomas-Muller_2903181.jpg

Jack-Wilshere_2903199.jpg
 
Sawasawa Ramsey anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Rosicky na Giroud anaingia badala ya Podolski,na Walcott anaenda kucheza upande wa kulia.
 
Back
Top Bottom